Recent content by shy town

  1. S

    Mambo 50 yatakayokuacha kinywa wazi

    Umejitahidi kukudanganya mkuu ila Kama kweli lakupiga chafya upo sahihi kabisa ndio Maana waislam husema Alahmdulilah MA mwengine humjibu mungu akurehem. Ipo dalili hapo nzuri
  2. S

    Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Malipo yapo kama sio Kwa Mkeo hata dada yako watu watalipiza kisasi vitabu vya dini ndio vinasema. Sasa kama ww hukuoa kabisa kisasi kitalipwa Kwa dada zako bora uoe jamaa walipe Kwa Mkeo kuliko Dada Au mwanao
  3. S

    Angestaafu May 2017 na kulipwa mafao yake Mil 134.7, sasa agundulika ana vyeti feki

    Alikua Anajua anafanya kosa Kwa nn muda Wote hakurisit akiwa kazini na Anajua Vizur anauwezo WA uhandisi..nafasi ilikuwepo why not. Kosa lake awajibike Hakuna namna ingine aseee
  4. S

    Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Upo sahii c programming Lakini wanajua kusema Au ndio kuzaliwa mjini Wakija na kigoma cha ulugwai wakuchambe utakomaaa. Ila Ukabila udini Wapo Vizur kabisa.
  5. S

    Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Wazaramo sio Kabisa wanachonga sanaa wanachamba Balaaa. Wakiamua unahama mtaa
  6. S

    Hivi kwanini wanawake hawapishani kwenye siti wakiona mwenzao mjamzito kasimama?

    Ndugu umeliona hata mm siku Moja nilianzisha mada hio kwa mwendokasi aisee umeliona 90 prcnt Wapo hivo
  7. S

    Leo siku muhimu kwa mzee wetu Alhaj Mohamed Said; Happy birthday Mzee wetu!

    Mungu Amjaalie umri mrefu wenye KHER nae
Back
Top Bottom