Recent content by Shwi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo wapi

    magufuri popote ulipo tuma hata wapambe. nimemisi vimbwanga vyako
  2. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo wapi

    mpaka lini sasa maana mzee anachanja kanda ya ziwa na kesho yupo ukelewe na mwanza mjini
  3. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo wapi

    fafanua mkuu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo wapi

    nami ningoje sasa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli yupo wapi

    Habari wana jamvi? nilikuwa naitaji kujua alipo mgombea wa ccm bwana john pombe magufuri alipo maana sasa yapata siku mbili hakuna habari ya huyu mgombea akijinadi kama mwenzake mh lowasa. mwenye kujua huyu bwana alipo anijuze. yuko wapi pombe?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

    hapo ni Kuwait kwa sadam hussen
  7. S

    JamiiForums Tanzania Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

    ukiwa na mke wa mtu na unatambua mumewe yupo ni kosa kubwa sana hata shetani anakimbia na kujificha bahari ya saba kwa nini umevunja hamri za mungu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Campaign: Sumaye bring back our land - sauti toka gerezani

    ya udini limeisha? maana lumumba hamlali na vipi umeona ardhi hii alochukua sumaye tu vipi Migodi inayo milikiwa na kitumbo mzee wa malofa? vp melemeta? vp escrow? vp dowans? na je reli kuhujumiwa? mpaka lini wewe mwenye hakili utaelewa kuwa Tanganyika hipo lakini haina nguvu ya kusema? mimi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa CHADEMA, Mabere Marando alazwa hospitali ya Muhimbili

    mungu atamsimamia
  10. S

    JamiiForums Tanzania Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza Nchi kuwa gizani kwa siku 7

    chanzo ni lowasaaaaaaa lakini haina shida tutaenda ikulu tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwanakijiji, Slaa, Makamba, JK, Magufuli : Mahaba yetu kwa Lowassa hayapungui bali yanaongezeka

    nathubutu kusema mwaka huu wataniulia kwenye kituo cha wapiga kura mpaka lowasa haiingie ikulu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kipya kutoka kwa CCM?

    Nilicho kiona mpaka sasa ni mwenyekiti wa chama cha ccm akimwacha mgombea wao akiswampa pekeee. na hiliali mwaka 2005 mwenyekiti alipewa kampani na mkapa. Je kweli wasemavyo watu kila kitu kinamwisho na huu ndo mwisho wa hiki chama kilicho tawala kama ndiyo mama wa vyama wa Tanzania? ukibaki...
  13. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    hali mbaya sana kwa magamba mpaka matusi du!
  14. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    magamba hayaoni soni
  15. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    pamoja na kusafirisha bado hali haijawa kabisa maaana uwanja haujajaaa kabisa hata nusu ya watu wa ukawa haijafika
Back
Top Bottom