Campaign: Sumaye bring back our land - sauti toka gerezani

Campaign: Sumaye bring back our land - sauti toka gerezani

Unajua kweli kutukana, aaaah wewe kwa kutukana kweli kiboko, laiti kama kungekuwa na shindano la wanachama wapya wa JF wanaotukana vizuri ni wazi wewe ungepita bila kupingwa. Hongera sana

Ma ccm mkiambiwa ukweli mnalipuka tu,na bado hadi lowasa akiingia magogoni ndio mtalia na kusaga meno
 
Unataka kujua waliopora mashamba ya Magereza tu! Tafuta ujue niliyemtaja kwa jina alivyojimilikisha ranchi ya umma kule Rukwa

Hilo halijui huyo gambazi
 
Hivi kama alinunua kihalali si ni kuweka documents hadharani tu. . . .Nini ngumu au hili nalo linataka watu wajae Jangwani
 
Utapiga kelele,utatokwa mapovu,lkn sisi marofa tumeamua kumchagua lowasa kuwa rais wetu hayo mengine ni mbwembwe tu
Of course na atakapoingia mtaisoma namba!
 
sumaye kajibu eti amenunua mashamba kwa pensheni. Karuka hoja ya msingi yakheeee, ardhi ya jeshi la magereza ndo halali kununuliwa hata na pesa ya pensheni/mirathi???????? Hakika hana jipya
 
ya udini limeisha? maana lumumba hamlali na vipi umeona ardhi hii alochukua sumaye tu vipi Migodi inayo milikiwa na kitumbo mzee wa malofa? vp melemeta? vp escrow? vp dowans? na je reli kuhujumiwa? mpaka lini wewe mwenye hakili utaelewa kuwa Tanganyika hipo lakini haina nguvu ya kusema? mimi lofa nimeelimika nimemsamehe sumaye lakini nataka watu walioenda kuchukua pesa za escrow na mafurushi huwataje.
 
...with the same spirit ... CCM should bring back our Giraffe, Elephants, Diamond, Tanzanite, Gold, Uranium, Banks, Industries, ATC, TRL, Ports, UDA ...
 
Asalaleeeee!

Majuzi Slaa alisema Fredrick Sumaye akiwa waziri mkuu alipora ardhi tajwa hapo juu iliyokuwa mali ya serikali. Hadi leo hajajibu kashfa nyepesi kama hiyo maana yake ni kweli tupu yakheeee.

Watu wana dhambi na roho ngumu, shida yote iliyopo gerezani bado Sumaye anawanyang`anya ardhi ndogo waliyonayo!!! Majuzi anaropoka yeye ni malaika kwa usafi.

Hiyo ni sauti toka gerezani ikisema "Sumaye bring back our land".

Nimekupa like kumaanisha kwamba lazima hata Nyumba za serikali zirudishwe! Hatutaki mtu anayedai mashamba halafu anaruka mambo yaliyompa faida yeye binafsi.

Pesa za Uswiss pia zirudishwe. Kuna nyumba za NHC pia watu binafsi walipewa na kujenga nyumba zao binafsi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom