Habari zenu wanajamii wezangu wa forums. Ninamwanangu amemaliza la Saba lakini nilitegemea kapata wastani wa B. Ana A=3. ana B=2 na C=1. Atapangiwa shule ya kata. Anasoma Dar es salaam. Nia yangu nimuhamishe aende boarding ya serikali. Je kwa wastani huo naweza kufanikiwa kweli kupata shule...
Kwasababu inakuwa ngumu kupokea pesa PayPal. Je unaweza kutumia detail za ndugu yako ambaye ni raia wa Kenya na kutumia line ya safaricom yenye usajili wake. Yaani ukasajili kwa data zake mpaka jina unatumia lake. Italeta shida kwa njia hiyo.
Maana ukijisajili ukiwa wako huko mbele hela...
Nyumba 2 zinauzwa kwa pamoja ndani ya eneo moja shilingi milion 70. Maongezi yapo.
Zipo Kimara Mavurunza. Gari inafika mpaka mlangoni. Umeme upo. Nyumba ya kwanza inavyumba 12, vitatu ni master. Imepigwa tires, Nyumba ya pili inavyumba 5 vyote master.
Wanaopenda biashara ya kuekeza kwenye...
Huku eBay Kama seller haleti mzigo Tanzania anakuambia badilisha address sijui ship inakuwaje hapa maana wengine ndio tunajifunza funza kuagiza vitu. Unakuta kitu unakitaka unakutana na kikwazo Kama hicho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.