Recent content by Shushani Ngomeni

  1. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro Arusha, wananchi wazidiwa nguvu

    Wana Jamvi Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Tanzania Nimerudi kwa mara nyingine kukumbusha Mamlaka juu ya Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro kijiji kilichopo Wilaya ya Meru Mkoani Arusha. Siandiki kwa faida yangu, wala sina cha kupata isipokuwa furaha ya nafsi hasa pale haki inapotendeka kwa watu...
  2. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi kuhusu mgogoro wa ardhi kata ya Maroroni wilayani Arumeru

    Hadi sasa Haijafanyiwa Kazi na watu wameanza kugawana ardhi ya wananchi.
  3. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

    Tunamtakia safari njema Mh Rais
  4. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Bunge: Wafanyakazi hewa wamerudi, mamilioni yalipwa

    Kamati imekuja na mwarobaini?
  5. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Catherine Ruge: Kakoko alinitishia kuniua baada ya kuibua madudu mengi TPA

    Wala hakuna shida juu ya hilo. Dhuluma na uonevu ina historia ndefu sana katika sayari hii. Ningepata chance ningeshahama siku nyingi.
  6. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi kuhusu mgogoro wa ardhi kata ya Maroroni wilayani Arumeru

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAKAZI – ANGELINA MABULA KUHUSU MGOGORO WA ARDHI ARUMERU ARUSHA KATA YA MARORONI KIJIJI CHA KWA UGORO CC: Naibu waziri Mh. Waziri Salam sana zikufikie popote pale ulipo, pole na hongera kwa majukumu mazito ya kujenga taifa letu la Tanzania hasa...
  7. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Serikali ku-renew mkataba wa IPTL?

    Tatizo Afrika wanaolalamika ni wale walioko nje ya geti, mathalan ukivutwa ndani tu,ewalaaah!! tumelogwa tangu zamani, tumebakiwa na pepo tu ambapo pia tunatapeliwa taratibu na manabii na mitume wa uongo! kazaneni wandugu!!
  8. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania FREM! FREMU! FREMU!

    Wapi sasa madalali wa town Kaka
  9. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira avuliwa uenyekiti ACT-Wazalendo, Yeremia Maganja akaimu uwenyekiti

    Wanasiasa wa bongo bana!! Nisaidieni kwa anayejua/anaeweza nataka kwenda kuishi Canada nitulizane huko kwanza miaka ishirini ndipo nipige simu bongo
  10. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania FREM! FREMU! FREMU!

    Habari Bandugu natafuta fremu ya biashara iwe maeneo ya Kimara, ubungo, au hata Tegeta kama sehemu itakuwa imetulia. nataka nianzishe biashara ya vyakula kama mamchele, mahindi, unga, ngano, kunde, maharage, nk. kimsingi iwe ni sehem ambapo wateja wapo watu wa kutosha wanaoweza kununua bizaa...
  11. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania ACACIA kufanya mkutano na waandishi wa habari huko Uingereza

    Wazee tutlize mpira ndio kwanza dk ni za awali..Magu bado yuko vizuri, Acacia wako vizuri sisi wapiga debe ndio wenye shida maana tumelogwa na ushabiki...kila kitu mashindano!! Nimependa kwamba second committtee inashirikiana na acacia ili kupata pure information. hofu yangu ni wale maprof...
  12. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga amwangukia Lowassa

    Kenyatta ameonyesha uwezo mzuri katika uongozi wake, changamoto iliyoko i think ni Ufisadi kidogo na Terrorist ambao walitaka kumuaribia utawala wake so he deserve to take over again. Lakin bado namshangaa mzee Lowasa kuwa na ushawishi hata kwa siasa za nje. Nafikir ni role model kwa politician
  13. Shushani Ngomeni

    JamiiForums Tanzania Simu Simu Simu!!!

    Heshima zenu wadau.. Nimeibiwa simu yangu wazee, sikutunza Imei zake ili niweze kupata msaada wa kutrack. je kuna anajua ujanja mwingine ambao naweza kupata hiyo simu? msaada tafadhali!! Ni tecno N2 ina few month since i bought. Pia kama kuna mtu ana used ktk gud condition aniuzie. ikiwa...
Back
Top Bottom