Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 16,456
- 18,489
Hakuna cha kuchanjia dawa mkuu,, ni hekima na busara tu ndizo zinafanya kazi!! Mvi za huyo mzee zinaonesha busara na hekima, lakini cha ajabu kuna mengine yameota mvi mpaka kwenye ndevu lakini busara ni "zero" (hiyo "0" isome kiswahali kama anavyotamka mkulu).Huyu lowassa atakuwa kachanjia dawa ya ngekewa ingawa Kuna watu wanajitahidi kumpaka matope lakini jamaa anazidi kung'aa tu