Recent content by Shushani Ngomani

  1. S

    Msaada wa kutengeneza App

    Amani kwenu wadau. Naomba mtu wa kunifungulia app ambayo sio lazima uwe online kuaccess data. Nipm plz Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Android,computer apps.and all...........read!!!!!

    Nahitaji Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Nabii Ellen White: Kubrashi viatu, kunyoa sharubu na kuoga siku ya sabato ni kujitafutia kupishana na Mbingu

    Mama E.G. White ameperform miujiza mingapi wakati wa uhai kama ambavyo tunaona today prophets wanafanya. tunajuaje kwamba alikuwa Nabii wa kweli ukizingatia alirise from Millaririte movement ambayo ilicost maisha na mali za watu. Ukijibu vizuri u will probably convince me to read her books
  4. S

    Kwanini miradi mingi inaelekezwa Dodoma na Chato?

    Mtaongea sana tena sana, na bado, ndio kwanza tumeanza.
  5. S

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Kenya na Senegal vipi? Kenya wako juu?
  6. S

    Ukiangalia na kufuatilia nyendo za William Lukuvi ni wazi ni kiongozi mwandaliwa wa baadae

    Mkuu niende Dodoma au Dsm maana ile ya dodoma ni mapacha ni Ile iliyokuwa Cda...kwa ufupi naambiwa utendaji wa Ile CDA ilikuwa best kuliko hii
  7. S

    Ukiangalia na kufuatilia nyendo za William Lukuvi ni wazi ni kiongozi mwandaliwa wa baadae

    Pale Dom bado majanga, naomba kama anafatilia hii kamba afanye uchunguzi vishoka na watumishi wanamuaribia sana..this is 3rd year nafatilia hati nimeshapigwa Mia saba lakn hadi sasa sina document
  8. S

    Polepole: Wabunge wa CCM wenye nongwa kukatwa 2020

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni wazee huyu jamaa katema facts anajua majukumu yake probably kuliko wabunge wote. Arudi 2020
  9. S

    Profesa Kabudi Paramagamba, kivuli cha unafiki

    Mimi ni msomi lakni siamini kama wasomi wa Tz wanaweza kututoa hapa tulipo. Kwanza wengi wa mapHd holder wana njaa Kali wanapopata nafasi hawawezi kuwa/kubeba njozi ya taifa. Halafu issue ya uteuzi wa kumteua mtu ambae HAKUTARAJIA unamfanyia surprise ni hatari sana always they won't meet...
  10. S

    Rais Magufuli awaalika Ikulu Wafanyabiashara wakubwa watano kutoka kila Wilaya

    I wish mwaliko ungewataja pia kwa majina. Watu wakae then tuangalie namna ya kupush Mambo yaende. Taifa kwanza
  11. S

    Polepole: Wabunge wa CCM wenye nongwa kukatwa 2020

    Mambo ni mengi muda mchache sana wakuu
  12. S

    Mtenda hutendwa wanaohama vyama sikia hii!!!

    Salam hizi ziende hasa kwa wale wanaohama kwasababu ya matumbo yao na ya watoto wao na kumsahau mtoto Tz. Salam hizi ziwe pongezi kwa wanaohama ili kuinua Tz na kupinga unyanyasaji.
  13. S

    TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

    Nimeguswa Sana Sana Sana na msiba wa huyu Mzee like nimeshakutana nae tukasema mbili tatu. Kwakweli kila nafsi itaonja mauti. Bwana atusaidie kuhesabu siku zetu ili tuishi kwa hekima.
Back
Top Bottom