Msaada wa kutengeneza App

Unaweza kufafanua zaidi ni application inayo deal na nini haswa?
Ume target Os ipi ?
Mwagaa details kiongozi tujue tuna ingia vipi isije ukawa unahitaji blog application inayofanya kazi offline
Nicheck 0623391590 tuyajenge
 
Back
Top Bottom