Mtenda hutendwa wanaohama vyama sikia hii!!!

sikuzamwisho

Member
Joined
Apr 12, 2019
Posts
48
Reaction score
185
Wadau wa nguvu,

Binafsi ni Muumini wa vyama vingi na mara nyingi Nimeshiriki kuwapigia debe wagombea wa upinzani na Uchaguzi wa 2010 Nilikuwa kimbelembele kumpigia debe Dr Wilbroad Slaa kwa upande wa Uraisi na Ubunge Fredi Mpendazoe ambaye aligombea Jimbo la Segerea kupitia CHADEMA,

Kifupi Tulijitolea Mimi na Rafiki Zangu kumtafuta Mzee Fredi Mpendazoe atupe mabango,vipeperushi na bendera za CHADEMA ili Tumpigie debe nyumba kwa nyumba Segerea mpaka kinyerezi na Tabata yote Utatueleza nini kifupi Tulijitolea kwa hali zote mpaka Kutembea kwa miguu na bendera na picha zake mtaani kifupi Tulivurugwa,Uchaguzi ulipofika bahati mbaya au nzuri Mzee Fredi Mpendazoe alishindwa

Nakumbuka Nilikuwa Msimamizi na siku ya kuhesabu kura marudio yake Nilifika Mnazi mmoja jengo fulani walipokuwa wanahesabia Nilienda Nikiwa sina hata nauli sababu ya kimbelembele na mapenzi kwa Mpendazoe na Chama.Akapinga ubunge mahakamani lakini akashindwa Siku zikasonga siku moja Nikasikia kahama na kurejea CCM binafsi Niliumia namna Tulivyopambana lakini akasaliti.Siku moja Nilibahatika Kukutana Naye kwenye msiba wa Captain Bomani msibani hakuwa tena Yule Mpendazoe wa kipindi kile kwanza ameshika microphone [emoji441] anatangaza ratiba ya msiba kama MC wa huo msiba mzito,

Nikashangaa sana badae Nikamwambia Mzee Tulikupigania sana ubunge segerea akabaki anabun'gaa macho tu,badae Mtu mmoja akaniambia kumbe Mzee kauza mpaka nyumba yake segerea kudadadeki hakika masikitiko ya Watu hayajamuacha salama karudi kijijini kwao kulima Naamini Masikitiko ya Watu juu ya Wanaohama hama VYAMA bila sababu ya msingi Yanawatafuna na familia Zao,

Mtu aliyeniuma pia ni Meya kuyeko ambaye mpaka kadi ya CHADEMA Tulimtafutia na kumpa nafasi kugombea udiwani na kuwa Meya wa ilala kwa kubebwa Hii hata Watoto wake Gody na Neema Wanajua mshua Wao kaua bendi Kiasi gani,ilifikia hatua mpaka Watu walijichora rangi mwilini Mwao kwa ajili Yenu Mshinde Nyie kirahisi tu Mnahama Hahaaaaaaaa haaaaaa Haaaaaaa [emoji16]

Kifupi Watu Wana majonzi na Huzuni kwa ajili Yenu Nawashauri siasa Zisiwachonganishe na Wadau Wenu ikiwezekana muombe msamaha ili ile laana ya Mpendazoe isiwafuate!!!
mpendazoe%2525202.jpeg
 
Wadau wa nguvu,binafsi ni Muumini wa vyama vingi na mara nyingi Nimeshiriki kuwapigia debe wagombea wa upinzani na Uchaguzi wa 2010 Nilikuwa kimbelembele kumpigia debe Dr Wilbroad Slaa kwa upande wa Uraisi na Ubunge Fredi Mpendazoe ambaye aligombea Jimbo la Segerea kupitia CHADEMA,kifupi Tulijitolea Mimi na Rafiki Zangu kumtafuta Mzee Fredi Mpendazoe atupe mabango,vipeperushi na bendera za CHADEMA ili Tumpigie debe nyumba kwa nyumba Segerea mpaka kinyerezi na Tabata yote Utatueleza nini kifupi Tulijitolea kwa hali zote mpaka Kutembea kwa miguu na bendera na picha zake mtaani kifupi Tulivurugwa,Uchaguzi ulipofika bahati mbaya au nzuri Mzee Fredi Mpendazoe alishindwa Nakumbuka Nilikuwa Msimamizi na siku ya kuhesabu kura marudio yake Nilifika Mnazi mmoja jengo fulani walipokuwa wanahesabia Nilienda Nikiwa sina hata nauli sababu ya kimbelembele na mapenzi kwa Mpendazoe na Chama.Akapinga ubunge mahakamani lakini akashindwa Siku zikasonga siku moja Nikasikia kahama na kurejea CCM binafsi Niliumia namna Tulivyopambana lakini akasaliti.Siku moja Nilibahatika Kukutana Naye kwenye msiba wa Captain Bomani msibani hakuwa tena Yule Mpendazoe wa kipindi kile kwanza ameshika microphone [emoji441] anatangaza ratiba ya msiba kama MC wa huo msiba mzito,Nikashangaa sana badae Nikamwambia Mzee Tulikupigania sana ubunge segerea akabaki anabun'gaa macho tu,badae Mtu mmoja akaniambia kumbe Mzee kauza mpaka nyumba yake segerea kudadadeki hakika masikitiko ya Watu hayajamuacha salama karudi kijijini kwao kulima Naamini Masikitiko ya Watu juu ya Wanaohama hama VYAMA bila sababu ya msingi Yanawatafuna na familia Zao,Mtu aliyeniuma pia ni Meya kuyeko ambaye mpaka kadi ya CHADEMA Tulimtafutia na kumpa nafasi kugombea udiwani na kuwa Meya wa ilala kwa kubebwa Hii hata Watoto wake Gody na Neema Wanajua mshua Wao kaua bendi Kiasi gani,ilifikia hatua mpaka Watu walijichora rangi mwilini Mwao kwa ajili Yenu Mshinde Nyie kirahisi tu Mnahama Hahaaaaaaaa haaaaaa Haaaaaaa [emoji16] kifupi Watu Wana majonzi na Huzuni kwa ajili Yenu Nawashauri siasa Zisiwachonganishe na Wadau Wenu ikiwezekana muombe msamaha ili ile laana ya Mpendazoe isiwafuate!!!View attachment 1086771
Karma is alive..
 
Mpendazoe mzee wa Ugombolwa sanene hata humu jukwani simsikii tena.
Ndio maisha aliyachagua na hizi laani huwa hazimwachagi mtu salama pamoja na kizazi chake
 
Hao wazee kama kina Mpendazoe hawana ujanja nje ya siasa, akikosa cheo cha kisiasa anadhalilika hapa mjini. Hivyo kurejea ccm ilikuwa ni ili njia yake ya kuendea chooni isiote majani. Kwa bahati mbaya hata huko ccm wameshajua anapigania tumbo wakamtosa.
 
Wadau wa nguvu,binafsi ni Muumini wa vyama vingi na mara nyingi Nimeshiriki kuwapigia debe wagombea wa upinzani na Uchaguzi wa 2010 Nilikuwa kimbelembele kumpigia debe Dr Wilbroad Slaa kwa upande wa Uraisi na Ubunge Fredi Mpendazoe ambaye aligombea Jimbo la Segerea kupitia CHADEMA,kifupi Tulijitolea Mimi na Rafiki Zangu kumtafuta Mzee Fredi Mpendazoe atupe mabango,vipeperushi na bendera za CHADEMA ili Tumpigie debe nyumba kwa nyumba Segerea mpaka kinyerezi na Tabata yote Utatueleza nini kifupi Tulijitolea kwa hali zote mpaka Kutembea kwa miguu na bendera na picha zake mtaani kifupi Tulivurugwa,Uchaguzi ulipofika bahati mbaya au nzuri Mzee Fredi Mpendazoe alishindwa Nakumbuka Nilikuwa Msimamizi na siku ya kuhesabu kura marudio yake Nilifika Mnazi mmoja jengo fulani walipokuwa wanahesabia Nilienda Nikiwa sina hata nauli sababu ya kimbelembele na mapenzi kwa Mpendazoe na Chama.Akapinga ubunge mahakamani lakini akashindwa Siku zikasonga siku moja Nikasikia kahama na kurejea CCM binafsi Niliumia namna Tulivyopambana lakini akasaliti.Siku moja Nilibahatika Kukutana Naye kwenye msiba wa Captain Bomani msibani hakuwa tena Yule Mpendazoe wa kipindi kile kwanza ameshika microphone [emoji441] anatangaza ratiba ya msiba kama MC wa huo msiba mzito,Nikashangaa sana badae Nikamwambia Mzee Tulikupigania sana ubunge segerea akabaki anabun'gaa macho tu,badae Mtu mmoja akaniambia kumbe Mzee kauza mpaka nyumba yake segerea kudadadeki hakika masikitiko ya Watu hayajamuacha salama karudi kijijini kwao kulima Naamini Masikitiko ya Watu juu ya Wanaohama hama VYAMA bila sababu ya msingi Yanawatafuna na familia Zao,Mtu aliyeniuma pia ni Meya kuyeko ambaye mpaka kadi ya CHADEMA Tulimtafutia na kumpa nafasi kugombea udiwani na kuwa Meya wa ilala kwa kubebwa Hii hata Watoto wake Gody na Neema Wanajua mshua Wao kaua bendi Kiasi gani,ilifikia hatua mpaka Watu walijichora rangi mwilini Mwao kwa ajili Yenu Mshinde Nyie kirahisi tu Mnahama Hahaaaaaaaa haaaaaa Haaaaaaa [emoji16] kifupi Watu Wana majonzi na Huzuni kwa ajili Yenu Nawashauri siasa Zisiwachonganishe na Wadau Wenu ikiwezekana muombe msamaha ili ile laana ya Mpendazoe isiwafuate!!!View attachment 1086771
Akalime tu, sisi wapiga kura wake tunaendelea kula bata kama kawa mjini hapa. Kama alidhani Chadema tutakufa njaa akajipange.
 
Kisasi ni cha Bwana, wasaliti wote wanastahili adhabu ya muasisi wao Yuda.
Kunyongwa.
Mungu anawanyonga, asiponyonga reputation yako, atanyonga cheo chako, asipo nyonga cheo, atanyonga uchumi wako, asiponyonga uchumi atanyonga afya yako. Asiponyonga afya yako, atanyonga ustawi wako, watoto hawatafanikiwa, laaa na mikosi vitawaandama
Lazima unyongwe tu
 
Well said. All that glitters is not gold. Back to square one.
 
Wadau wa nguvu,

Binafsi ni Muumini wa vyama vingi na mara nyingi Nimeshiriki kuwapigia debe wagombea wa upinzani na Uchaguzi wa 2010 Nilikuwa kimbelembele kumpigia debe Dr Wilbroad Slaa kwa upande wa Uraisi na Ubunge Fredi Mpendazoe ambaye aligombea Jimbo la Segerea kupitia CHADEMA,

Kifupi Tulijitolea Mimi na Rafiki Zangu kumtafuta Mzee Fredi Mpendazoe atupe mabango,vipeperushi na bendera za CHADEMA ili Tumpigie debe nyumba kwa nyumba Segerea mpaka kinyerezi na Tabata yote Utatueleza nini kifupi Tulijitolea kwa hali zote mpaka Kutembea kwa miguu na bendera na picha zake mtaani kifupi Tulivurugwa,Uchaguzi ulipofika bahati mbaya au nzuri Mzee Fredi Mpendazoe alishindwa

Nakumbuka Nilikuwa Msimamizi na siku ya kuhesabu kura marudio yake Nilifika Mnazi mmoja jengo fulani walipokuwa wanahesabia Nilienda Nikiwa sina hata nauli sababu ya kimbelembele na mapenzi kwa Mpendazoe na Chama.Akapinga ubunge mahakamani lakini akashindwa Siku zikasonga siku moja Nikasikia kahama na kurejea CCM binafsi Niliumia namna Tulivyopambana lakini akasaliti.Siku moja Nilibahatika Kukutana Naye kwenye msiba wa Captain Bomani msibani hakuwa tena Yule Mpendazoe wa kipindi kile kwanza ameshika microphone [emoji441] anatangaza ratiba ya msiba kama MC wa huo msiba mzito,

Nikashangaa sana badae Nikamwambia Mzee Tulikupigania sana ubunge segerea akabaki anabun'gaa macho tu,badae Mtu mmoja akaniambia kumbe Mzee kauza mpaka nyumba yake segerea kudadadeki hakika masikitiko ya Watu hayajamuacha salama karudi kijijini kwao kulima Naamini Masikitiko ya Watu juu ya Wanaohama hama VYAMA bila sababu ya msingi Yanawatafuna na familia Zao,

Mtu aliyeniuma pia ni Meya kuyeko ambaye mpaka kadi ya CHADEMA Tulimtafutia na kumpa nafasi kugombea udiwani na kuwa Meya wa ilala kwa kubebwa Hii hata Watoto wake Gody na Neema Wanajua mshua Wao kaua bendi Kiasi gani,ilifikia hatua mpaka Watu walijichora rangi mwilini Mwao kwa ajili Yenu Mshinde Nyie kirahisi tu Mnahama Hahaaaaaaaa haaaaaa Haaaaaaa [emoji16]

Kifupi Watu Wana majonzi na Huzuni kwa ajili Yenu Nawashauri siasa Zisiwachonganishe na Wadau Wenu ikiwezekana muombe msamaha ili ile laana ya Mpendazoe isiwafuate!!!View attachment 1086771
Mpendazoe alitoka wapi Segerea Kinyerezi... Wakati huku alikuwepo Msaliti Mtatiro na CUF yake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bhasi hao wote cha mtoto, Yule naibu waziri Waitara ndio katia fola, unaambia tulimkeshea Pugu sekondary siku 2 mfululizo watu wa CCM wasiibe kura zake, kuna mtoto wa Rais mstaafu alikuja na 600M ampoze Waitara, wakulya na bodaboda wakamwambia ukichukua hela tunakuua. Mpaka anatangazwa jamaa alichanganyikiwa, haamini, na hiyo ni saa 9 usiku. Kilichofuata katusahau wote....
 
Je Yule ambaye watu walimpigania sana akashinda alafu akaja kuunga juhudi mkono na kutokana na Hilo Akwilina akaja kuuawa.... jasho, shuruba na damu ya waliopigania na hata hiyo iliyomwagika siku ya uchaguzi wa marudio.. kwanini isimtese yeye mkewe aliyekubaliana nae na watoto wake wanaokula hiyo raha ya dhuluma na ghiriba?
 
Wanachama wote wa upinzani hawajawahi kuwa na vyama vingine kabla? Wanachama wangapi wametoka CCm kwenda kuimarisha upinzani! Mimi naona mnataka demokrasia na uhuru wa kuamua ule unaowapendeza nyinyi tu.
 
Kisasi ni cha Bwana, wasaliti wote wanastahili adhabu ya muasisi wao Yuda.
Kunyongwa.
Mungu anawanyonga, asiponyonga reputation yako, atanyonga cheo chako, asipo nyonga cheo, atanyonga uchumi wako, asiponyonga uchumi atanyonga afya yako. Asiponyonga afya yako, atanyonga ustawi wako, watoto hawatafanikiwa, laaa na mikosi vitawaandama
Lazima unyongwe tu
Mkuu Msaliti Yuda hakunyongwa ila ALIJINYONGA MWENYEWE.

Hata hao watajinyonga wenyewe kwa tamaa za kishetani na fedha nyepesi
 
Aisee mifano ipo mingi, hapa Tunduma Kuna madiwani walihamia ccm kwa tamaa zao sasa kinachowakuta hawana hamu ya Kuishi maana wamedharaulika hadi wakipita Inzi zinawasonya na kutema mate chini zingine zinawatemea mwilini kabisa.
 
Salam hizi ziende hasa kwa wale wanaohama kwasababu ya matumbo yao na ya watoto wao na kumsahau mtoto Tz. Salam hizi ziwe pongezi kwa wanaohama ili kuinua Tz na kupinga unyanyasaji.
 
Back
Top Bottom