Recent content by shumundu

  1. shumundu

    JamiiForums Tanzania DED, DC, Mbunge Ilemela wapiga Mil. 300 katika mradi wa Hospitali ya wilaya

    ...ni WIIVU TUU...
  2. shumundu

    JamiiForums Tanzania Ni mteule yupi wa Kikwete aliekuvutia katika utendaji wake wa kazi?

    Udini upi. Mungu ambariki mama wa watu. Joyce Ndalichako
  3. shumundu

    JamiiForums Tanzania Benjamin Ndalichako arudisha fomu Umeya Jiji la Dar

    sijawahi komenti humu ndani. lakini hapa huyu jamaa namwamini. ni mtu makini na msomi pia. infact hawa jamaa ni watendaji wazuri, fuatilia. all the best Mstahiki Meya Benjamini Ndalichako.
  4. shumundu

    JamiiForums Tanzania laptop inauzwa kama spare

    Laptop aina ya Hp pavilion dv 1000, inauzwa 150, 000/= kama spare, ina tatizo la charging system tu.
  5. shumundu

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Hii mambo ipo very serious, juzi hapo jumatano ya majivu tumetoka kanisani tukakutana na jamaa ndani ya kanzu wakatukashifu, tumekua vinyago. RIP padre. someone is behind this and something should be done hapa kabla wakristu wapole hawajalipa.
  6. shumundu

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta ya gari ktk petrol station

    kabissaaa
  7. shumundu

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    mh wewe unaweza hata ukachaungulia hata wazazi wako wakiwa falagha,:confused2:
  8. shumundu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutongoza

    natoa tuition, guarantee demu yeyote yule wa mjini, muda ni wiki mbili, nakupa mwongozo mpaka siku unakula tunda. ni PM
  9. shumundu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutongoza

    natoa tuition, guarantee demu yeyote yule wa mjini, muda ni wiki mbili, nakupa mwongozo mpaka siku unakula tunda.
  10. shumundu

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    kwi kwi kwi kwi kwi
  11. shumundu

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    kazi ipo.
  12. shumundu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/ duka wanaponunua computer mbovu. Nina laptop nauza kama spea. Help wadau

    Laptop ilikufa mother board, ila kuna kioo ambacho ni kizima cha inchi 14.0, keyboard na battery vipo, hard disk na rom tu ndo hamna.
  13. shumundu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/ duka wanaponunua computer mbovu. Nina laptop nauza kama spea. Help wadau

    Natafuta mtu/ duka wanaponunua computer mbovu. Nina laptop nauza kama spea. Help wadau. Direction au contacts.
Back
Top Bottom