Recent content by shumbi

  1. S

    Agizo lingine la Serikali ya Magufuli lapuuzwa

    Million 8!!?? Tanzania go to hell
  2. S

    Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Uziri ni kuwa hawakumtaja mtu, wacha picha ijieleze yenyewe tu. Mawio kikwete amelishindwa ataweza huyo kinyangarika?
  3. S

    Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Hawajamaliza kulipa mabilioni kwa kufungia gazeti la mwanahalisi, wafungie tena hili waone moto. Makonda hajaonewa, dawa ya mtu mwenye dharau kwa wengine ni kudharauliwa.
  4. S

    Kifo cha Lowassa kisiasa kiko mbali sana

    Kweli, Lowassa is the rock in politics. Uchaguz wa Mwaka huu tumevuka kwa Amani kwa sababu ya hekima na busara zake. wengi walitabiri tungekuww na vita. Na kwa hakika angesimama Dr. Slaa kwa Ukawa alivyo na visasi nchi ingeingia kwnye machafuko.
  5. S

    A husband/Life partner

    kwa Kwel nakupongeza sana, wanawake wa kiafrika wengi hawajipi fursa ya kuchagua wakipendacho. Nakuombea umpate mwenye hvyo vigezo umpime kwenye mizan ya uaminifu mtaishi vizur. Mm binafsi vigezo vimeniweka pemben.
  6. S

    Moshi wa bangi ukeni

    huko chini naku kunapataga arosto!!!?
  7. S

    Mtatiro: Ufafanuzi wa Elimu yake

    Tuache kujadili vitu vyepesi. JK alikuwa profesa lkn haikutusaidia watz. Bora huyu bachelor inaonekana hata kwenye makala zake.
  8. S

    Fedha za Stanbic ziligharimia kampeni UKAWA?

    ujinga ujinga tu
  9. S

    ACT wagoma kusaini matokeo Arusha

    Yale maandama ya kumpongeza magufuli wana act tutayafanya lini? naomba ufafanuzi tafadhal.
  10. S

    Mikoa sita (6) kapuni uteuzi wa baraza la mawaziri

    Nasikitika kuwa bado watanzania tuna fikra changa na za kibaguzi kwa kiwango kikubwa hivi. Yani tunataka rais anapoteua mawaziri aanze kufikiria wanatoka wapi? au aangalie uwezo wao wa kututoa hapa tulipo? Kwa mfano mawaziri wenye uwezo mkubwa wangekuwa wanatokea mikoa mitatu pekee...
  11. S

    Dr. Mwaka vs Babu Ambilikile Mwasapile wa Loliondo

    Kama Mwasapile Kibaka Huyu Mwaka n Jambazi Reason Mwasapile kikombe 500 Mwaka dozi Laki mbili
  12. S

    Hoja ya upinzani kwa sasa ni ipi hasa?

    We subiri uone mambo,hata siku 100 hazijaisha unataka hoja za kumpinga maguful?
  13. S

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    Naomba niseme japo kwa ufupi kuhusu huyu Mh. Magufuli anayegombea kuwa mkuu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania. Kabla yote naomba niseme wazi kwamba mimi ni member wa CCM walioko kwenye vitabu vyao, kwani kadi yangu pale Ubungo niliipia mpaka mwakani. Hatahivyo, kifikra siko tena CCM...
Back
Top Bottom