Dr.Mwaka ni TAPELI LA KUTUPA Tanzania.He just a mere witchdoctor.Hajaenda shule atakuwaje Dr.????
du... job truetrue........job availableHeri babu wa loliondo alikuwa anatoza 500/= tu, kuliko huyu dr wenu mwaka, anakusanya ndimu na tangawizi kariakoo mia mia, halafu anakupa dozi yenye ndimu moja na kipande cha tangawizi kwa 200,000/= kupona. Hakuna. Watanzania tuna shida kweli kweli, hii yote ni sababu ya kutokuwa na matibabu ya uhakika kweye hospitali zetu
Hivi yule Babu wa kikombe na Dr Mwaka nani zaidi? Maana nasikia tu matangazo mengiii waliopona sisikii ebu niambieni
Kumbe yule Queen alikuwa mke wa jamaa nmwingine? Mwaka kiboko, tapeli kweli yule jamaaDr Mwaka kamtapeli Queen aliyekuwa mke wa jamaa yangu na kamuoa kabisa na kumfanya mkewe wa tatu. Kweli mtego wa kupata wanawake ni kitu kidogo tu. Ila hizo hela za kuuza ngada zina mwisho wake tu.
Mimi niliamini %90 ya watanzania ni wagonjwa enzi za loliondo watu waliuza mpaka viwanja ili waende kutibiwa kwa jero.
Mbona Lowassa mnamkejeli kuwa ni mgonjwa na yeye mwenyewe yuko kimya? Nadhani ndo tulipofikia sasa, ikiwa Nape anamtukana Lowasa ambaye kwa umri ni baba yake unategemea nini?
Uwambie wenzako wanaojifanya wanamkejeli Lowassa waache kabisa,akina Makamba,Mwigulu,Nape,Lusinde nk waache kabisa
Mkuki kwa nguruwe bana do! Unakwenda huku ukichekelea, sasa je hebu uletwe kwako uone uchungu wake!!Heshima ni kitu cha bure,mheshimu rais wako.Lakini pia kiubinadamu si vyema kumkejeri mtu yeyote sababu ya ugonjwa
Alishindwa kula na wakubwa.kwani ndondi aliishia wp?
Kumbe yule Queen alikuwa mke wa jamaa nmwingine? Mwaka kiboko, tapeli kweli yule jamaa
na kuna mwingine anajikongoja ana kipindi kinaitwa 'the plants'
yaani utapeli ni ule ule ila madokta wanabadilika tu..
mama terry hata kuandikisha kadi tu ilikuwa utapeli mtupu[/QUOT
Na Yule rahabu rubago naye
Dr Mwaka kamtapeli Queen aliyekuwa mke wa jamaa yangu na kamuoa kabisa na kumfanya mkewe wa tatu. Kweli mtego wa kupata wanawake ni kitu kidogo tu. Ila hizo hela za kuuza ngada zina mwisho wake tu.