Recent content by shumanice

  1. shumanice

    TANESCO Shinyanga hawaunganishi wateja wapya kisa magari mabovu

    Aisee hii ni hujuma kubwa sana, naomba tumwambie waziri Dr. Kalemani ahangaike na hili linamchafua
  2. shumanice

    TANESCO Shinyanga hawaunganishi wateja wapya kisa magari mabovu

    Wakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu! Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje...
  3. shumanice

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kama ilivyo si kila mtu anajua kucheza mpira, sio kila mtu lazima auze duka, afungue saluni, etc.......vivyo hivyo hata FOREX si ya kila mtu. Anae amini kuwa ni scam na aendelee kuamini lkn asiwapotoshe wengine. Na wewe unaeambiwa chochote kuhusu forex hebu jipe muda wa kutafiti japo kidogo...
  4. shumanice

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Wewe jamaa hata hujielewi. Yaani unashindwa kutofautisha kati ya biashara na kampuni inayoendesha biashara!!! Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana. Kwanini Watanzania tulio wengi hatupendi kusoma na kufanya own research japo ya haraka!!!!?? Kama umesoma forex ukaielewa huwezi weka pesa kwenye...
  5. shumanice

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Salute comrades. Nianze kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia fursa hii ya FOREX. Kiukweli awali nilidhani ni masihara lakini nilipohudhuria training ya Dar bila kujali nilitokea Shinyanga all the way, na sasa nimeamini forex ni mkombozi kwa watu wengi. Binafsi nimeanza ku-download...
  6. shumanice

    CHADEMA wanyimwa ruhusa kutumia Uwanja wa Taifa Kwenye uzinduzi wa Kampeni

    Kwani kuna haja ya kwenda kwenye kampeni tena!!!
  7. shumanice

    Ziara ya kimyakimya ya IGP Ernest Mangu kushawishi Askari kupigia kura CCM na kuzuiliwa kwa Msafara

    Akili si mnazo? Kwani nyie ni watoto wadogo wa kukubali kila mnaloambiwa?? Watajuaje kama hujapigia CCM?
  8. shumanice

    Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

    Siasa ni hesabu, siasa ni namba, siasa ni science, kilichofanywa na UKAWA ni hivyo vitu vitatu. Watatoka 10 wataingia 1000, hongereni UKAWA, hongera EL
  9. shumanice

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    Siasa ni hesabu, siasa ni namba, siasa ni science, inachofanya UKAWA ni hivyo vitu vitatu, nyie endeleeni kupiga kelele wkt watu wanatengeneza mkakati wa kuingia Ikulu......... Hongereni UKAWA mmepiga bao la mkono kwao
  10. shumanice

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Acha kudanganya umma, wanamageuzi au wewe mwenyewe!!!?? Jiongelee wewe usituhusishe na sisi
  11. shumanice

    Lowassa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembeyanga ambako Dr. Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa

    Kwani CHADEMA ikifa si ndo vizuri kwako??? Sasa kelele za nini!!! Why utokwe povu jiiiingiii???
  12. shumanice

    Hotuba za mgombea wa CCM zawekwa katika tovuti wa Ikulu, huu ni uungwana?

    Niliwahi sema, bila tume huru ya uchaguzi upinzani kushinda itakuwa ni ndoto japo inawezekana. Lakini pia hawa watu (NYINYIEMU) wameshikwa pabaya, hapo ni wanajifariji, waacheni waweke kwani ndio wanaaga aga hivyo, mwisho October 25, mimi na wewe tuweke niya ya kujiandikisha (kama wewe bado...
  13. shumanice

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Asikatwe mtu kila mmoja apewe bendera ya chama aipeperushe Oct 2015
  14. shumanice

    GE2015 Wakati wakiwa hawana uhakika Dodoma, UKAWA wajipanga Dar es Salaam

    Yanakaribia kutimia.......vijana na wazee tuhamasishane siku ya kupiga kura. Kwa ambao bado hamnajiandikisha hakikisheni mnazo shahada zetu mkononi.
  15. shumanice

    Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

    Safi sana CAG, tena kwa hao wa-CCM hawakustahili hata 50M, kwa kazi ipi waliyoifanyia Tanzania?? Kupiga kelel za NDIOOO pale ndani bila kufikirisha ubongo wao?? Stupid wabunge wa NYINYIEMU
Back
Top Bottom