Recent content by Shuleless

  1. Shuleless

    PostGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Jamaa ana kiburi sana, tutegemee uovu wa kutisha kutoka kwake baada ya kupewa moja ya nafasi nyeti zaidi huko serikalini.
  2. Shuleless

    Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

    Kwamba kichwa kimebakia kua mkebe wa kuhifadhia meno na mate.
  3. Shuleless

    GE2025 Kihongosi: Mtu yuko nje ya Nchi anakwambia andamana na wewe unaingia barabarani unafanya uhalifu, hii haikubaliki. Niongelee watu kufa kwenye nini?

    Vijana wengi wa CCM wanataka kutuaminisha kwamba maandamano ni VITA, UVUNJIFU wa AMANI nk. Hii tafsiri hua wanaitoa wapi. Na kwanini wana kiburi kupita kiasi?
  4. Shuleless

    Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Status ya usalama wa members uko vipi?
  5. Shuleless

    Ninaishi na maumivu

    Pole sana. "Death Triangle"
  6. Shuleless

    WAZIRI ULEGA AKUTANA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA

    Huyu si ndio pole pole alimtaja na kuhoji kama anajua kazi za waziri baada ya kuuliza swali "kwanini umechimba hapa?"
  7. Shuleless

    Wachokonozi waachiwa huru, wakamatwa tena na kushtakiwa upya

    Jamii ambayo haipo tayari kupokea mitizamo tofauti ni jamii ilio laaniwa.
  8. Shuleless

    Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

    Baada ya kugundua kwenye utu uzima PESA na KAZI ndio BABA'KO ndio MAMA'KO mjini.
  9. Shuleless

    PreGE2025 Polisi wasema wamemkamata Golugwa kutokana na taarifa za siri kuwa anasafiri bila kufuata sheria!

    😂😂😂 Hawa jamaa wanatumia vichwa hivi hivi wanavyo vitumia wengine kufikiria?!?!
  10. Shuleless

    Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

    Kuna mtu au watu kwenye mfumo hawamtaki bimkubwa, maana hii sio kawaida wanatumia nguvu kubwa kumharibia. Maeneo walio amua kuyagusa yanazidi kuharibu reputation yake kama alikua nayo huko mitaani. Apange upya safu yake bado hajachelewa. Padre namwombea apone haraka japo kua inaonekana...
  11. Shuleless

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Ndg. Peter Machoko ahamia CCM na wafuasi 167

    Unakuaje na Jina la ukoo la namna hii "Machoko"!?!? Unaweza kua na msimamo kweli!
Back
Top Bottom