Recent content by shujaa6

  1. shujaa6

    Hongera Manispaa Kinondoni Kwa Ujenzi Wa Barabara Za Makumbusho Lakini....

    Habari Zenyu Waungwana, Kuna Ujenzi Unaendelea Wa Barabara Za Ndani Ktk Eneo La Makumbusho Kurahisisha Uingiaji Wa Mabasi Kwenye Kituo Cha Makumbusho Ni Jambo Jema, Ila Kabla Hawajafika Mbali Na Kazi Hiyo Naomba Nishauri Wazingatie Kuweka Maeneo Huru Ya Watembea Kwa Miguu Ili Kuepusha Watu...
  2. shujaa6

    JB ataoa sababu ya Bongo movie kufa

    Siri Ya Mtungi Imefanywa Na Kampuni Kubwa Ambayo Pia Ina Tawi Afrika Magharibi Ndio Wale Waliotengeneza Filamu Maarufu Za Neria Na Yellow Card.
  3. shujaa6

    Kati ya mwanaume na mwanamke yupi anaumia sana akiachwa?

    Mwanamume Yeye Huumia Kihisia Tu, Faida Anayoipata Ni Kula Pesa Zake Peke Yake. Ila Mwanamke Ndie Huumia Zaidi Kwa Namna Tofauti, Kihisia Na Kimwili Kutokana Na Mrija Wa Matunzo Kukatika Na Kutelekezwa Na Mimba Au Mtoto.
  4. shujaa6

    Mwanaume kuvaa Nguo ya ndani ya mwanamke?? Au hii danganya toto

    Hiyo Ya Watu Kuvaa Chupi Za Kike Mimi Mwenyewe Nishaishuhudia Kwa Macho Yangu, Msela Akadai Za Kike Hazibani Sana Na Hazisababishi Joto Kama Boxer Za Kiume. Ila Yeye Alisema Kachukua Kwa Demu Wake, Hivyo Hata Demu Wake Anajua Mpango Huo!.
  5. shujaa6

    Wanawake wengi ukiwatongoza tu anakwambia simu yake imeingia maji

    umeona sasa, namna hiyo ndo inapendeza sio mtu kutumia jinsia yake kuhalalisha tabia ya kuomba omba. mapenzi ni ushirikiano wa wawili wapendanao ktk kuyajenga maisha. zikiwepo utapewa hata bila kuomba, inapendeza mapenzi yawe ni kitu cha kubembelezana, kufarijiana na kuhurumiana na sio...
  6. shujaa6

    Wanaume wote yafaa tuijue siri hii..!

    mke ni msaidizi wa mwanamume, mungu tayari katukabidhi muda mrefu hawa viumbe hata mwenzao jenifer lopez analijua fika hili mpaka akatoa single inaitwa "love dont cost a thing". huhitaji uwezo wa kiuchumi ili kummiliki mwanamke ila inakupasa umtumie kama rasilimali ya kukuongezea kipato. ndo...
  7. shujaa6

    Hivi Kati ya Kutongoza na Kutongozwa ipi kazi ngumu?

    huo uliousema wewe ni usumbufu wa kutongozwa kila wakati. mtoa mada kazungumzia ugumu ni upi kati ya hayo mawili, mi naona bora sisi vidume tuna afadhali maana mwanamke kama amemzimia msela ugumu unakuja amkubalije asionekane kicheche ndo linakuja jibu subiri nikafikirie. sie huwa tunajitoa...
  8. shujaa6

    Wanasayansi wathibitisha kuwa punyeto ni tamu kuliko mwanamke

    kweli mkuu inaongeza ukubwa wa uume na unene mm ni shahidi wa hilo ila shughuli hiyo uianze mapema tangu uko bwana mdogo ndo utaona matokeo bora. sio uanzie ukubwani.
  9. shujaa6

    Nini maana ya kauli ''atapangiwa kazi nyingine''?

    Kupangiwa kazi nyingine mimi nahisi ni kumshusha kwenye nafasi aliyonayo na kumpa kazi ya mshahara mdogo au kuendelea kumlipa mshahara akiwa benchi mpaka muda wake wa kustaafu ufike. taratibu za kumfukuza kazi mtumishi wa kuajiriwa wa serikali ni ngumu sana tofauti na mwanasiasa wa kuteuliwa...
  10. shujaa6

    Rafiki wa ex wangu ananitaka niwe mkewe

    Inawezekana Tu, Tuliona Diamond Alikuwa Mpenzi Wa Worlper Kisha Harmonize Akadili Na Ex Wa Bosi Wake(Worlper).
Back
Top Bottom