Wanaume wote yafaa tuijue siri hii..!

Wanaume wote yafaa tuijue siri hii..!

umemaliza mkuu @Tize hata sijui niongeze nini.
Japo naweza nisieleweke ''Kila unachokiona kinafanyika katika ulimwengu huu (physical) tayari kimekwisha kuwepo kwenye ulimwengu wa Roho. Iwe ni cha Kimungu, iwe ni cha kishetani hata sisi wenyewe vitu tunavyoonekana tunavifanya, tayari vinakuwa vimeshatengenezwa kwenye nafsi/mawazo yetu.

Vyote vinavyotokea sasa tayari vimekwisha kuandikwa kutoka mkatika ulimwengu wa Roho. Sasa inategemea namna vinavyotokea hatika uhalisia wake. Kusema Mwanamke aliumbwa kwa bahati tu hatupo sahihi...

Yanayotokea ulimwenguni ni kama PRINTING ya ulimwengu wa ROHO. Kwa lugha nyepesi chukulia mfano wa Kuchapisha/Kuprint kitu. Printing inavyokuwa.. Wazo linatoka moyoni/kichwani unalichapa kwa komputer halafu kupitia komputer unalituma kwa printer... ndio unaona physical copy'' Cha kujiuliza, Kwani hio document/maandishi yalianzia kwenye Printer?

THE PHYSICAL WORLD IS THE PRINTING OF THE SPIRIRUAL WORLD. (Either from higher realms of the lower ones)
cc Newcreation, Ablessed na Blue G na Kaunga

Waebrania 11:3
''Nasi twajua kwa Imani ya kwamba, ulimwengu uliumbwa kwa Neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana, havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri''

Hebrews
11:3

''By faith we understand that the worlds were prepared by the word of God, so that
what is seen was not made out of things which are visible''
 
Hamna kitu hapo. Kwanza umejiharibia uliposema 'wakali'. Sote tunajua hao wakali ni matamanio ya wanaume wengi. Hata Farao alikuwa na mke 'mkali' lakini mke hakuona milki ya mumewe kama ni kitu mbele ya akida Yusufu. Akamtamani Yusufu kiasi cha kutaka kuzini nae (Mw. 39:11-19). Uwe na pesa usiwe nazo, biblia inasema, enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili (mtanisaidia hizo aya).
 
Na ndio watakaoihitimisha dunia hii (wanawake). habari ya wao kuzaa isikupotezee muda. wanaipeleka dunia kusikojulikana kinyume na plan ya aliyeiumba. "with woman in control the world is no longer safe"
wanaoipeleka dunia kusikojulikana ni wanaume wenyewe. Kuanzia kisiasa (maamuzi ya nci tajiri), kijeshi (vita), kijamii (ushoga), n.k. Kati ya yote hayo kuna mkono wa mwanamke?
 
^^
Kwa mie nisie mcha Mungu ipasavyo, na sina pesa, na maarifa yangu haba.
Je, kuna tumaini lolote kweli? Au ndo nimepishana na gari la wanawake?
^^

Tumaini unalo,mm nahitaji sana wa sifa zako.Nitakutafuta,have a smile bas!
 
Je sisi tusio fikiria mara mbilimbili tutapata wife materials kweli
 
mke ni msaidizi wa mwanamume, mungu tayari katukabidhi muda mrefu hawa viumbe hata mwenzao jenifer lopez analijua fika hili mpaka akatoa single inaitwa "love dont cost a thing". huhitaji uwezo wa kiuchumi ili kummiliki mwanamke ila inakupasa umtumie kama rasilimali ya kukuongezea kipato. ndo maana vijijini mtu anaongeza mke ili wamsaidie kulima shambani.
 
Mungu hakuwa na mpango wa kumuumba mwanamke, wala haikua katika plan zake, ni uzoba wa Adam kushindwa kutumia mazingira yake vizuri katika kutengeneza furaha yake binafsi ndo kulisababisha atleast Mungu kuanza kufikiri nini cha kumuongezea Adam.

wanawake waliumbwa BY THE WAY tu, so uchambuzi wako hauna msingi
eti by the way tu, omba msamaha kwa wanawake, hujajua kila jambo hutokea kwa makusudi ya Mungu, Hivi unafikiri Yesu alivyopelekwa nyikani kujaribiwa na shetani Mungu alikuwa hajui?

my dear, kulikuwa na kusudi la Mungu sisi kuumbwa acha hayo maneno yako na kila jambo hutokea kwa wakati na kusudi maalumu.

Nimerudia kwa msisitizo na nakwambia tusingekuwepo mngekuwa vichaaa. kikikikikikkkkkkk
 
mke ni msaidizi wa mwanamume, mungu tayari katukabidhi muda mrefu hawa viumbe hata mwenzao jenifer lopez analijua fika hili mpaka akatoa single inaitwa "love dont cost a thing". huhitaji uwezo wa kiuchumi ili kummiliki mwanamke ila inakupasa umtumie kama rasilimali ya kukuongezea kipato. ndo maana vijijini mtu anaongeza mke ili wamsaidie kulima shambani.

Hapo kwenye bold hapo mkuu; umejiuliza mara 2? Nahisi upo sawa na mleta uzi though wewe mtazamo wako unadhani jamaa he meant PESA? Hilo shamba si ndio security yake ya maisha? Think if huko kijijini kuna mwanaume yupo sooo lazy, halimi na wala hana shamba, ana umri mkubwa but still anaishi kwa wazazi wake do you think msichana wa kijijini atamkubali mtu wa namna hiyo kirahisi!? Think it brother.
 
wanawake wengi wa sasa si waolewaji ni watalii,na ndo maana unakuta mwanamke anatumia vigezo vingi sana kumtafuta mume na WAKAT mwingine anapishana na mwanaume aliyekusudi sahihi,
KWANZA KWA SUALA LA UCHUMI
huwezi ukatumia UCHUMI wa mtu kuwa kigezo cha kuwa mume,pesa huja na kutoweka na wakat mwingine huwezi jua zinaweza zikakutoweka ukiwa Uzeeni,je mwanamke ndo akukimbie,HAPO ndo utaona wanawake wenye KUPeruzi wanavyokimbiaga na kuanza kudharau WAUME ZAO,
PILI SUALA LA KUMJUA MUNGU AU KUTOMJUA NI SUALA NYETI,NIMESHUHUDIA WATU WANAOANA WAPAGANI KABISA NA NDOA ZIKO SALAMA,NA WAKATI MWINGINE UNAKUTA MMOJA KATIKA NDOA NDIO ANAMJUA MUNGU KWAHIVYO NI JUKUMU LA MWINGINE KUMVUTA KATIKA KWELI YA MUNGU,

HOJA YANGU NI HII
1.Tangu mwanzo MUNGU alimpa mamlaka mwanaume amtawale mwanamke

Kama mungu mwenyewe aliamini yakuwa mwanaume anastahir kuitawala dunia,na kila uwezo wa kiroho na kiakil ameumbwa nao tangu unatoka tumboni mwa mama yako mungu amekukabidhi mamlaka hayo,hivyo ni namna gani mwanaume atakavyotumia
2.WANAWAKE WENGI WAMESHINDWA KUKUBAR HALI YA KUTAWALIWA NA WANAUME,NA HILI NDIO TATIZO KUBWA
-Asilimia KUBWA ya ndoa zinayumba KWASABABU WANAWAKE Asilimia kubwa WAMEKUWA wakihitaji kusimama Kama adamu KATIKA NDOA,KITU ambacho NI ngumu sana katika ule mwengu wa kiroho hata ki will,na hii inatokea sana pale mwanamke anapoona yakuwa mwanaume uchumi wake umeyumba AU mazoea ya kumchukulia he is like me,kumbe NI KITU ambacho sicho daima,
Mwanamke anapaswa kumtii mume hata kama uchumi wake uko chini au Hana senti tano mfukoni,

TUJIFIKILIE
MUNGU ALIPOMUUMBA MUME ALIMPA PESA,GARI,NYUMBA,AU MAVAZI?laah,MUNGU alimuumba mwanaume akatengeneza mazingira tu ya yeye kuvitawala vitu alivyompatia,na hivyo adam alipewa uwezo wa kutumia chochote kile kwa maarifa yake,kizur zaid mungu alimuumba mwanamke kuwa msaidi wa mume,na hivyo mwanamke alipaswa kutii mamlaka ya mume,na ndio maana katika NDOA Kama ndoa yenu imewiva,basi Chochote mwanamke atakachokitafuta na kukileta nyumbani mwanaume Ana mamlaka Nacho kuitawala na kimaamuzi,
KWA UCHACHE SANA TUZINGATIE
WAZAZ wetu wa zamani NDOA zao nyingi zilidumu sana na mpaka Leo wengine tunawaona wapo wanadunda na NDOA zao NI kwasababu MMOJA
Wanawake wengi wazamani walikuwa na utii SANA KWA wanaume,Leo HII mwanamke wa Leo hata ukimfokea NI tatizo tayar,sasa mwanamke kama huyu wa nini,???ukimwelekeza AU kumpa maaigizo AU kumfundisha tayar kashanuna,Hii NI shida ya kizaz hiki,DAIMA NAWAMBIA SUALA LA UTAWALA LINASUMBUA FAMILIA NYINGI SANA,NA NDICHO CHANZO KIKUBWA SANA KWAKUWA KAMA UNAMPENDA MUME WAKO BASI UTAMWESHIMU,UTAMSIKILIZA,UTAMTII NA KUWA MNYENYEKEVU NA KUILINDA NDOA YAKO KWA HALI YOYOTE,
WANAWAKE WA LEO AKISHAPATA PESA AU UCHUMI UKIWA JUU YA MUME BASI ANAANZA DHARAU KWA MUME WAKE,USITEGEMEE MUME ATAKUBARI KIRAHISI MAANA HILI NI SUALA LA KIROHO,(Mamlaka)
WENGI WANAOVUMILIA KUMWACHIA MAMLAKA MWANAMKE KATIKA NDOA ZAO HUISH MAISHA YAKUTOJIAMINI,YA HOFU NA KUTOJIONA KUWA NA HAKI KWA MKE...

MKINIHITAJI NITARUDI KWA UFAFANUZI ZAID,,,,,,NAWASILISHA,USIJIBU COMMENT YANGU KAMA HUNA EXPERIENCE NA MASWALA YA NDOA,KAMA UKO KWENYE UCHUMBA AU MAPENZ,PITA HIVI...WANANDOA TU HAPA..TUSAIDIANE
 
Huu ni mstari uliopo mwanzo kabisa kabla ya uumbaji wa siku ya 6 ukionesha Mwanamke na Mwanaume waliombwa siku moja Spiritually.

Genesis 1:17 "In the image of God he created them; male and female he created them"

Ndio baadae tunaona Mungu anamuumba Adam baadae Eva phyisically.
Genesis 2:7 "then the LORD God formed the man of dust from the ground ..........."

Zingatia sana tofauti iliopo kati ya mistari hii ''Created'' na "Formed"
Nipe mistari inayosapoti mawazo yako mkuu SONGOKA

funny!!! huo ulimwengu wa rho uko wapi??? unabishana na BIBLE or??? thats what the Bible teaches, the woman creation was not on Gods plan at first, god wanted to create man only.
Dont bring your ullusions in the contest of Holy Bible
 
Bila shaka umewahi kushuhudia au kusikia kwamba:

wanawake [wa zama hizi wakiwa wanaongoza] wanavutiwa kimapenzi na wanaume wenye uwezo [i.e wenye kazi nzuri, wenye fedha za kutosha, wenye mwelekeo mzuri kiuchumi na wenye akili za maisha] huku wakiwapuuza ama kuwakataa wanaume ambao "hawana mwelekeo" wa maisha mazuri.

Unajua ni kwa nini wanawake wana hulka hii?

Nitakudokezea kidogo! Ukisoma Mwanzo 2: 7-25 Utaelewa kuwa Mungu alipomuumba mwanaume alimpa vitu VINNE (4) kwa vipaumbele vifuatavyo:

Kwanza alimuumbia roho ya kuabudu;

pili akampa kazi(kutunza wanyama, kuitunza na kuihudumia bustani ya Eden kwa ajili ya chakula n.k);

Jambo la tatu akampa maarifa (Kipi cha kufanya na kipi cha kutofanya pale bustanini).

Baada ya hayo matatu ndipo akampa [jambo la nne] nalo ni msaidizi, yaani mwanamke.

Nini maana yake?

Hii ina maana kwamba Mungu alitambua kuwa ili mwanamume amudu kuishi na mwanamke pasipo matatizo anatakiwa:

1) awe na uhusiano mzuri na Mungu,

2) awe na kazi inayotosheleza mahitaji na

3) pia awe na maarifa na akili za maisha na za kumuongoza mwanamke(ambaye Mungu anamtaja kama kiumbe dhaifu).

Ndani ya kila mwanamke kuna "king'amuzi cha asili" kinachokazana "kusaerch" mwanaume mwenye vigezo hivyo vitatu.

Kwa hiyo wanaume (hasa msiooa bado) msipoteze muda kunung'unika, kulaani na kulalamika inapotokea wanawake "wakali" wanawakataa kwa sababu hamna hivyo vigezo.

Anachoangalia mwanamke ni usalama wake kiuchumi, kimaamuzi, kiroho na kihisia pindi atakapokuwa chini yako [yaani atakapokuwa mkeo] Hivyo nawashauri mhakikishe mnamtafuta Mungu kwa bidii, iweni na mitazamo, maono na mipango inayoeleweka kuhusu uchumi wenu[wa sasa na wa baadae] na tatu tieni bidii katika kujifunza mambo mbalimbali kuhusu maisha:

Ndipo "VING'AMUZI" vilivyomo ndani ya "WAKE WEMA" vitawanasa mlipo pasipo ninyi kulazimika kutumia nguvu nyingi na maneno mengi.

Na kwenu wanawake; ukiolewa na mwanaume asie na sifa hizi tatu jilaumu mwenyewe!
Mkuu umejitahidi, japo umepuuza agano LA Mungu katika utakatifu.
Sote twajua maisha in kupanda na kushuka(roller coaster life)

Agano LA katika shida na Raha, sickness and health, better or worse till death tear us apart.

Ushauri wa vijiweni in hatarr, unaweza vunja ndoa.
 
Bila shaka umewahi kushuhudia au kusikia kwamba:

wanawake [wa zama hizi wakiwa wanaongoza] wanavutiwa kimapenzi na wanaume wenye uwezo [i.e wenye kazi nzuri, wenye fedha za kutosha, wenye mwelekeo mzuri kiuchumi na wenye akili za maisha] huku wakiwapuuza ama kuwakataa wanaume ambao "hawana mwelekeo" wa maisha mazuri.

Unajua ni kwa nini wanawake wana hulka hii?

Nitakudokezea kidogo! Ukisoma Mwanzo 2: 7-25 Utaelewa kuwa Mungu alipomuumba mwanaume alimpa vitu VINNE (4) kwa vipaumbele vifuatavyo:

Kwanza alimuumbia roho ya kuabudu;

pili akampa kazi(kutunza wanyama, kuitunza na kuihudumia bustani ya Eden kwa ajili ya chakula n.k);

Jambo la tatu akampa maarifa (Kipi cha kufanya na kipi cha kutofanya pale bustanini).

Baada ya hayo matatu ndipo akampa [jambo la nne] nalo ni msaidizi, yaani mwanamke.

Nini maana yake?

Hii ina maana kwamba Mungu alitambua kuwa ili mwanamume amudu kuishi na mwanamke pasipo matatizo anatakiwa:

1) awe na uhusiano mzuri na Mungu,

2) awe na kazi inayotosheleza mahitaji na

3) pia awe na maarifa na akili za maisha na za kumuongoza mwanamke(ambaye Mungu anamtaja kama kiumbe dhaifu).

Ndani ya kila mwanamke kuna "king'amuzi cha asili" kinachokazana "kusaerch" mwanaume mwenye vigezo hivyo vitatu.

Kwa hiyo wanaume (hasa msiooa bado) msipoteze muda kunung'unika, kulaani na kulalamika inapotokea wanawake "wakali" wanawakataa kwa sababu hamna hivyo vigezo.

Anachoangalia mwanamke ni usalama wake kiuchumi, kimaamuzi, kiroho na kihisia pindi atakapokuwa chini yako [yaani atakapokuwa mkeo] Hivyo nawashauri mhakikishe mnamtafuta Mungu kwa bidii, iweni na mitazamo, maono na mipango inayoeleweka kuhusu uchumi wenu[wa sasa na wa baadae] na tatu tieni bidii katika kujifunza mambo mbalimbali kuhusu maisha:

Ndipo "VING'AMUZI" vilivyomo ndani ya "WAKE WEMA" vitawanasa mlipo pasipo ninyi kulazimika kutumia nguvu nyingi na maneno mengi.

Na kwenu wanawake; ukiolewa na mwanaume asie na sifa hizi tatu jilaumu mwenyewe!
Umenena vyema
 
Na ndio watakaoihitimisha dunia hii (wanawake). habari ya wao kuzaa isikupotezee muda. wanaipeleka dunia kusikojulikana kinyume na plan ya aliyeiumba. "with woman in control the world is no longer safe"
Naungana nawe kwa hilo
 
Yawezekana ni illussions kama unavyofikiri. Pole.

Nipe maandiko yanayothibitisha usemacho na mimi nitakupa yanayothibitisha nilichokiandika. Vinginevyo utakua unaongea tu stori za vijiweni.
Naona bora mbishane kwa fact kuliko maneno ya kwenye khanga
 
Ukweli mtupu.
I wish wakuelewe na kuyafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom