Hivi Kati ya Kutongoza na Kutongozwa ipi kazi ngumu?

Wakuu,


Nisiwachoshe Kwa Maneno mengi kama Mwanasheria..

Nadhani kila mtu ashafanya kati ya vitu hivo viwili..
Kila kazi na nyenzo yake mkuu, ,Ukitumia maneno tupu, ,,,mzigo unazidi kuwa mgumu, ,,ila KUnOng'ona Siyo kazi, , kazi kumshawishi avue tenga uone tundu zile! !
 
Kutongoza ni Sanaa ya kushawishi jambo fulani liweze kufanyika kwa wakati uliokusudiwa,
Kutongoza kimapenzi, ni kumshawishi mwanamke au mwanaume aweze kuungana na kuwa katika mahusiano ya kimapenzi,
Kitendo cha kushawishi jambo fulani lifanyike sio jambo rahisi, inahitaji muda, ujasiri, sanaa ya kuvutia ili kumjenga muhusika kuvutiwa na uongeaji wako na pia aweze kujua lengo lako ni nini kwake,
Hivyo basi inahitajika kujiandaa, na kuwa na mpangilio mzuri maneno yako pindi unapoenda kumtongoza mwanamke au mwanaume. Pia mazingira yanachangia kwa kiasi kikubwa inategemea unamtongoza mwanaume au mwanamke katika mazingira gani, unadhifu pia ni jambo jema pindi unapoenda kutongoza.
Mfano, unakuta mwanaume anamtongoza mwanamke lakini ananuka mdomo, au harufu ya jasho,
Pia katika mavazi vaa kawaida upendeze lakini uwe msafi na sio kujiremba na majonjo mengi.

Napita tu wakuu.......
 
Jipange upya Mkuu huyu alikuwa anakupima kama kweli una mapenzi au unataka kumvua picchu tu kasha usepe zako. Tutasubiri mrejesho kama alisalimu amri au aliendelea kupangua hoja. Unaweza kuanzia hata nimependa perfume yako LOL!
 
Hata kutongozwa ni kazi pia,kuna siku unatamani tu itokee usitongozwe hata na mmoja....ila ndo haiwezekani labda ujifungie ndani....na ukijifungia ndani kuna wale wa mitandao bado watakufata
huo uliousema wewe ni usumbufu wa kutongozwa kila wakati. mtoa mada kazungumzia ugumu ni upi kati ya hayo mawili, mi naona bora sisi vidume tuna afadhali maana mwanamke kama amemzimia msela ugumu unakuja amkubalije asionekane kicheche ndo linakuja jibu subiri nikafikirie. sie huwa tunajitoa muhanga tu hata tukitoswa poa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom