Recent content by shuhudia lihemla

  1. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer Nauza

    kama unauza piga 0766176001 nchukue kama iko poa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu mtandao wa Halotel

    mabadilikoooo
  3. S

    JamiiForums Tanzania NEC: wanafunzi wa vyuo vikuu rasmi kutopiga kura mwaka huu. sijui kulikoni

    TUME ya taifa ya Uchaguzi sasa imethibitisha kuwa wanafunzi wa Vyuo vikuu hawatapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika kipindi cha kikaangoni kinachorushwa na EATV, jana Emmanuel Kawishe amesema kuwa wanafunzi hao hawataweza kupiga kura kuchagua diwani,mbunge au Rais kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vodacom muwe na huruma basi, MB 1 kweli!

    Sio nawakejel ila najaribu kuwaeleza uhalisia uliopo na hasa kwa kipindi hiki ambapo watu wanategemea sana kupata habari kupitia mitandaoni. Meneja wa masoko tafadhari wateja wenu tunaomba hlo suala la 1mb mliangalie vzuri. Kwa dunia ya sasa mitandaon ni muhimu sana ila ninyi mnatulazmisha...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kutofautisha kati ya Jumanne Iddi na Kayumba Juma wa BSS

    Jumanne Iddi alipita kwa kishindo sana maana alikua na nyota nzuri lakini baada ya hapo hadi sasa wanaovuma ni wengine like Kala Jeremiah na wengine. Wachambuzi walisema mwenye kipaji alijua KJ, na hii ya Kayumba nahisi mshindi wa pili ndiye atakayevuma kama KJ. Ni mtazamo.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Program ya kutengeneza beat kwenye computer

    wadau mwenye program hyo plz antumie whatsapp 0766176001
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyimbo za Dance mia mia

    Wadau, Naomba msaada, kwa mtu mwenye nyimbo ambazo hutumika kwenye mashindano ya Dance mia mia nazipenda sana, au kama unazifahamu majina yake. Mimi naifahamu moja tu ya gweta. Nitumie to WhatsApp 0766176001
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Mtarajiwa akiiwakilisha nchi nje ya Tanzania

    am married with three kids
  9. S

    JamiiForums Tanzania JF Mathematics clinic Special thread

    upo sawa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni za Kingwendu

    Wadau napenda sana kuzisikiliza/tazama kampeni za kingwendu maana ni burudani. so mwenye nazo atusaidie. M4C
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwasasa kuna mtu anaweza kubadikisha maamuzi yake aache kumchagua Lowassa amchague Magufuli?

    yaani leo hii unamshabikia kowassa kisha mtu aje kwako kwa sera zake et umchague magufuli.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vpl leo tar 13/09/2015 Uwanja wa Taifa, Yanga vs Coast Union saa 10:00 Jioni

    nimeipenda
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hatma ya kura za walimu kwa mgombea urais wa tarehe 25 Oktoba, 2015

    hivi kwani kuna mwalimu atachagua CCM. naamn hakuna labda wenye maslahi bnafsi. hii inatokana na kipaumbele cha 1. elimu 2. elimu 3. elimu
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    CCM ovyooo!!!!
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    CCM ovyooo!!!!
Back
Top Bottom