Recent content by shugurani

  1. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jamani huku Pugu maeneo Karibu na sekondari umeme kama indiketa,yaani ikifika saa 12 jioni hakuna kinachoweza kufanyika kwa umeme, na ni kila siku, inamaana Tanesco hamuelewi tatizo? KWA SASA NAFIKIRI NJIA RAHISI NI KURIPOTI WIZARANI,TUSHACHOKA,
  2. S

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Tatizo ni kwamba mnabeba vyuma halafu mnaenda kupiga punyeto,mtu anapiga punyeto kama anafua nguo,madhara yanakuwepo tu,hasa pale hisia zinapokupeleka kwa mwanamke ambaye ni mwl wa hesabu
  3. S

    Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

    Vip wenye mbwa kumi,wamasai wawili?, hapo utofauti ni gharama tu
  4. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Kuna haja gani kuweka umeme kwa mteja wakati hamjasajili mfumo wa kulipia yaani luku,yaani wanakuwekea unit 10 Zikiisha hizo ni mwendo wa giza tena , na kufuatilia kwake uache kazi ufanye kazi, HASA TANESCO KISARAWE
  5. S

    Wimbi la wadada kwenda mjini asubuhi

    Mnaposema mjini mnamaanisha posta au,maana huku manzese ndo mizunguko haiishi kabisaaa
  6. S

    Hawa wadudu wanao wakawaka usiku

    Wale ni aliens wa kibongo
  7. S

    TAIFA STARS WAMETIMIZA LENGO

    Timu ya Taifa imemaliza kazi ambayo wametumwa hongera zao
  8. S

    Je, wajua kwamba maiti ya binadamu huwa haina kivuli?

    Mbona cha Saddam Husein kilionekana?au maiti za kibongo
  9. S

    90% ya wanaume wa Tanzania, hatuvutiwi na wanawake wanaovaa mawigi

    Pia wanawake hawapendi hizo k vant mnazokunywa
  10. S

    Hawa waliwahi kutamba sana awamu ya 4 na kutetemesha Jiji

    Maisha kama Taulo kuna siku linafuta Uso wakati mwingine linafuta matako Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom