Inasikitisha sana kuona nyumba ya ibada inaungua- ila inakera zaidi watu wengine wanavyochukuwa muda huu na kukashifu dini nyingine - je ingekuwa nyumba ya ibada ya dini ambayo unaamini wewe bado ungeweza kukashifu- Watanzania tunakwenda wapi? Issue hapa ni nyumba ya ibada kuungua and nothing...
All in All kelele hazisaidi na kiongozi mzuri hushawishi- nashawashika kuhisia pabaya nchi yetu endapo CDM itaingia madarakani- wasiwasi ni kwamba kwa viongozi hawa uwezekano wa Tanzania kuwa vitani kila siku ni mwingi sana- I trully realise that maturity is not age but responsibility
This is suprising- if we are talkining about intergration then how did the kikuyu come in- am a tanzanian but why talk of tribe while we are looking at a country? anyway i think all countries are sovereign and also agreeing to enter in an intergration also considers the protection of the...
Its so sad! That the malawians now considers their president weak- is it because the president is a woman- what an egoistics and patriachial attitude- but then what different would another president do- what the malawi president is doing is reasonable considering their position in a...
Lugha ya kiingeza ndo onatumika chuobi hapo pamoja na kuongozea vikao- lakini ya raisi ni waraka Wa wazi na ili kuwafikia watanzania wengi Kiswahili ndio Lugha sahihi ili kufikia jukumu Hilo
Mpayukaji please look at who yourtalking too- hao ni walimu na sio wanafunzi ulisikia wapi walimu wakiimuunga mkono mgombea wowote Wa siasa- I think ur name suits u well
inashangaza kwa mtu mwenye upeo kama mtei kuwa na mawazo kama hayo- kinachoshangaza ni kwamba dini za hao watu amegundua kupitia majina- hajui kama dini inaweza kuwa isifanane na jina lako- anyway huu ni ubaguzi wa imani- kwanini afike mbali hivyo au kazeeka apelekwe rest home alelewe asubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.