Recent content by Shubiri

  1. S

    Baada ya kupeza umaarufu, Mtikila aanza uvamizi Kurasini.

    Mlango uliovunjwa na wavamizi hao pamoja na vitu vikiwa vimeshatolewa nje.
  2. S

    Baada ya kupeza umaarufu, Mtikila aanza uvamizi Kurasini.

    Lameck bora ufanye hivyo, kwa habari nilizozipata kuna mwenzie kapigwa yupo mahututi na yeye ndie alikua mlengwa kwa bahati kuna watu walimuwahisha polisi.
  3. S

    Baada ya kupeza umaarufu, Mtikila aanza uvamizi Kurasini.

    Kuna wimbi la utapeli wa nyumba limeibuka katika Kata ya Kurasini. Utapeli huo unaongozwa na kiongozi wa chama cha DP bwana Christopher Mtikila. Inasemekana kwamba bwana Mtikila na kundi lake walisambaza barua kwa wakazi wa Kurasini na taasisi mbalimbali kama makanisa zikidai kwamba watatumia...
  4. S

    BlackBerry 9800

    Habari wakuu, Ndugu zangu nina simu yangu aina ya BlackBerry 9800 ambayo nilisafiri kidogo nikaiacha bila kuchomoa betri. Niliporudi nimeikuta simu haiwaki wala haichaji zaidi unawaka taa nyekundu bila kuzima pindi utapoiwasha au kuichomeka kwenye umeme. Naomba msaada. Asante.
  5. S

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Wakuu, Kwa nini hatutaki kufungua akili zetu na kulitazama hili la kujeruhiwa kwa Sheikh Ponda kwa upana? Sijui ni nani aliyehusika kwa shambulio hili lakini ninachoweza kusema Huyu mtu ni mtaalamu kwenye matumizi ya silaha za moto. Ukijaribu kuzitazama hizo picha za jeraha la Sheikh, hakika...
  6. S

    Hawa SSRA wanatumiwa na nani?

    Wakuu, Hivi huyu mama Irene Isaka wa SSRA ni nani? Ametokea wapi? Amesoma wapi na kasomea nini? Asante.
  7. S

    Uzalendo wa Mwl Nyerere: Alimtoa mwanae kwenda vitani Uganda. Je, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

    Makongoro alikua Kapteni akiwa na umri wa miaka 18??
  8. S

    General Kiaro anaagwa na mkuu wa mkoa; Kanumba, Rais!

    Hili ni kweli kabisa Mkuu Bulole Bukombe. Na hii haimaanishi kwamba hawana kiu ya kujua ila tu ni kwa sababu ni vigumu kuzipata habari za hao watu. Kama haya mambo yangekua yanapatikana kirahisi hasa kwenye mitandao ingekua rahisi kwa vijana kuyafahamu. Kwa mfano leo hii nimejaribu sana...
  9. S

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Hivi siku hizi mahakama zetu zinapokea Electronic evidence?
  10. S

    Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi is NO MORE

    Kwani ya IGP Mahundi Walionesha? Labda mimi sikuona?
  11. S

    Wazee wa kuchapia!

    mamanyamala for mwananyamala
  12. S

    Wahaya na mitandao ya simu

    Settings Rugaimukamu:roll:
  13. S

    Upuuzi wa TBC1: Rais Kikwete atukanwa 'live'

    Nakubaliana asilimia mia moja na wanaopinga alichokifanya huyu Dickson Amos Ng'hily, kwa kweli si uungwana kabisa sababu chama chetu ni cha kiungwana. Huyu jamaa amekosa umakini na hajui matumizi mazuri ya muda. Nafkiri hata kwa waliofuatilia wanaweza kusema kwamba hicho kitendo chake...
Back
Top Bottom