Recent content by shsh

  1. S

    JamiiForums Tanzania Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Kiuabdishi amesha waponyoka hawawezi kumtia hatiani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Huyu Dada anaakili Ndogo kweli alijua kwamba anakuja kujitambulisha Mtoto Wa lowassa wakati anapicha fb na historia yake watu wanaijua,mbona ni picha la kitoto sana kama na dereva kausika basi kweli maneno ya gwajima sio bure
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

    Amka then ulale Tena ili umpate Bint Wa ndoto yako
  4. S

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

    hawajiheshimu celebrate wa bongo hasa yeye mwenyewe hawajielewi wao maisha yao hayana maadili wanakimbizana na siasa hawajui ina effect gani kwenye Kazi zao nani atakupa matangazo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, wafanya Zoezi la Utayari

    Hongera zao utayari Wa kupambana na ujambazi ila kama ni waandamanaji no
  6. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali wenye sifa ya Darasa la saba kuondolewa kazini. Jiandaeni kisaikolojia

    Sasa wewe umeajiriwa na darasa la saba mpaka saizi unafanya nn bora watoke tu kwanza ndio hao huwa wasumbufu wanajipendekeza Kwa boss
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake walioshika dini haswa walokole wengi wao sio wife material wa kuoa

    Wewe ndio si husband material
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Watanzania bana tarehe 22 au 23 ndio mwisho Wa mwezi? Subiri 30 au mwezi upite
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupunguza uzito kwa pills

    Nenda fb mtafute kwa ku like page yake Dr boazi mkumbo MD wala hutapata shida ya kupungua Mimi ni muhanga Nilikuwa na 97kg mpaka sasa nini 78 kg
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Jinsi waliosaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015 wanavyoteseka

    Bora IREEN Uwoya amekimbilia Kwa Dogo janja
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Jinsi waliosaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015 wanavyoteseka

    Vipi wale bongo movie hata siwasikii Tena
  12. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wapo salama? Mchungaji Fredy Njama, akamatwa kwa ‘Uchochezi wa Kisiasa’

    Tunafika patamu sasa mpaka unawamata wanakuombe mmh
  13. S

    JamiiForums Tanzania Halotel sasa mlikofikia mtabaki na Mkurugenzi pekee

    Tayari nimeanza kutumia artel Jana
Back
Top Bottom