Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

Binafsi baadhi ya watz nawaona kama mbwa tu. Maana kila kitu tunajilalamishaaaaaaa hata vitu ambavyo havina ulazima wa kulalamika. Sasa mishahara haijafika hata tr 25 leo unaleta pua yako hapa kuisemea mambaya serikali. Ambayo unaenda kutega mkono wako mchafu ikulipe mshahara+ akili chafu ndo unaifanyia kazi seriklai. Sishangai maana hata Mungu wakati anawatoa wana wa israel misri kuna walioanza kulaumu kuwa bora angewaacha waendelee kukaa utumwani misri maana walikuwa wanakula wanashiba japo ni watumwa.
 
Serikali imekuwa ikilipa mishahara tarehe 22 kila mwezi Leo hii tarehe 23 mishahara ya watumishi wa serikali bado hii wazi kuwa Hali ya uchumi nchini ni mbaya sana wananchi tuichangie serikali ili iweze kujikwamua .
Wewe unapochelewa kumlipa mshahara dada wa kazi uchochoroni kwako mbona hujawahi kuanzisha Uzi humu!?
Mhaini wahedi!
 
Daah kumbe nimechelewa, ngoja nijilipe salary

Hii ni kwa sisi tuliojiajiri
 
Mdaaa sio mrefu tutaanza kukopwa yaan tujiandae kwa hili ndugu watumishi,Ila sasa wasimamizi Wa watumishi walivyo na viherehere kuhimiza wenzao wapige kazi na mavitisho kibao ,any way me Nina mikakati ya kuacha kazi ya serikal na kukomaaa kivyangu vyangu
Katika hiyo kazi yako mpya utasimamiwa na serikali ya Congo au ?


Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Maisha ni kupanga na kuchagua, acha kazi kama unaona haikufai, usibaki kulalamika hovyo tu. Kwanza kazi zenyewe hamfanyi huduma mnatupa mbovu tena kwa vinyongo kila kukicha.


Ulishawahi kujiuliza kwa nini huduma ni mbovu?? Ukipata jibu wala hutahangaika.

Mfano mdogo ni ufaulu wa shule za serikali na binafsi, hapa ni dhahiri upande wa pili kuna matakwa ya watu wao wanayajali.
 
Serikali imekuwa ikilipa mishahara tarehe 22 kila mwezi Leo hii tarehe 23 mishahara ya watumishi wa serikali bado hii wazi kuwa Hali ya uchumi nchini ni mbaya sana wananchi tuichangie serikali ili iweze kujikwamua .
Kwa akili hizi za vijana wa bavicha acha magufuli awamalize kwa kuwanunua, kufawafunga na kuwapiga virungu
 
Kulipwa mshahara tarehe 23 ni Hisani tu, mshahara unatakiwa kulipwa tarehe 28 ya kila mwezi.
Hivi watu mna akili gani? Hiyo hisani inayoka wapi? Tareh 23 mpaka 23 ya mwezi mwingine kuna siku ngapi? Hata wangelipwa kila tarehe 5 hakuna hisani yeyote ni mfumo tu!
 
Ndugu, Mimi ni mpinzani nahisi kukuzidi, ila kwa hili, wafanya kazi lazima mjiongeze kwa vimiradi. Yaan Mshahara kuchelewa masaa unaanzisha Uzi Jf?
Kuna umhimu gani wa kuajiriwa sasa sema serikali hii haina pesa wawalipe watumishi mishahara yao kufanya miradi ni utashi wa mtu na hakuna uhusiano wa direct wa kuchelewesha mishahara
 
Serikali imekuwa ikilipa mishahara tarehe 22 kila mwezi Leo hii tarehe 23 mishahara ya watumishi wa serikali bado hii wazi kuwa Hali ya uchumi nchini ni mbaya sana wananchi tuichangie serikali ili iweze kujikwamua .
Watanzania bana tarehe 22 au 23 ndio mwisho Wa mwezi? Subiri 30 au mwezi upite
 
Back
Top Bottom