Recent content by Shori

  1. Shori

    NJIA RAHISI NA BURE YA KUONGEZA LIKES KATIKA UKURASA FACEBOOK

    Hii makala ni maboresho ya makala ya iliyopita, soma tolea la kwanza Kwa kila post, unayoweka hewani, wengine wanaboost au kupromote post au matangazo yao, tangazo likiwa hewani watu wengi wana like post lakini sio page na wamiliki wa page wanakuwa wanatamani mtu alio like post a like na...
  2. Shori

    Njia rahisi na bure ya kuongeza likes katika ukurasa facebook

    Kwa kila post, unayoweka hewani, wengine wanaboost au kupromote post au matangazo yao, tangazo likiwa hewani watu wengi wana like post lakini sio page na wamiliki wa page wanakuwa wanatamani mtu alio like post a like na ukurasa pia. Watu katika post yako nawagawa makundi yafuatayo: a) Watu...
  3. Shori

    Jinsi ya kutumia whatsapp kuendesha biashara

    Mwongozo kamili wa Whatsapp kuendesha biashara. Je, wewe ni mfanya biashara wa kati au mdogo? Kama simu yako ina whatsapp unaweza kuitumia kuendesha biashara yako. Njia za kutumia Whatsapp kuendesha biashara ni pamoja na: a) Kuendesha semina za kulipia au bure kwa watu wasiozidi 250 b)...
  4. Shori

    JINSI YA KUTUMIA WHATSAPP KUENDESHA BIASHARA

    Mwongozo kamili wa Whatsapp kuendesha biashara. Je, wewe ni mfanya biashara wa kati au mdogo? Kama simu yako ina whatsapp unaweza kuitumia kuendesha biashara yako. Njia za kutumia Whatsapp kuendesha biashara ni pamoja na: a) Kuendesha semina za kulipia au bure kwa watu wasiozidi 250 b)...
  5. Shori

    Facebook wamefeli kuhusu tukio la Ufaransa

    Kama wabovu iweje muwaombe msaada?
  6. Shori

    Facebook wamefeli kuhusu tukio la Ufaransa

    Si hakika kama umekosea
  7. Shori

    Hii itakusaidia ndani ya mwaka mmoja utaanza kuishi bila kutegemea mshahara wa mwajiri

    Luis Tuwasiliane mkuu sina uzinguaje wowote pliz nitext. Whatsapp: 0682937214 Text/call:0683798883
  8. Shori

    Hii itakusaidia ndani ya mwaka mmoja utaanza kuishi bila kutegemea mshahara wa mwajiri

    HII ITAKUSAIDIA NDANI YA MWAKA MMOJA UTAANZA KUISHI BILA KUTEGEMEA MSHAHARA WA MWAJIRI. Tunasema "fire your boss" ....kipato kinapokuwa kidogo au mshahara ukaisha huku mkononi bado umeshikilia list ya mahitaji; wazo litakalokuijia kichwani ni: wapi nitapata pesa nyingine, lini upungufu wa pesa...
  9. Shori

    How to build a successful network marketing business in Tanzania

    Mkuu kwa maelezo yako inaonekana wazi kabisa hujui kutofautisha KAMPUNI ZA PYRAMID SCHEME na KAMPUNI ZA NETWORK MARKETING. MBONA MIMI NAPATA FAIDA BILA HATA MTU KUINGIA. NETWORK MARKETING NI MFUMO AMBAO UKIJIFUNZA VIZURI UTAKUWEZESHA KUWA MFANYA BIASHARA MKUBWA. WHATSAPP ME...
Back
Top Bottom