JINSI YA KUTUMIA WHATSAPP KUENDESHA BIASHARA

Shori

Senior Member
Nov 10, 2011
146
25
Mwongozo kamili wa Whatsapp kuendesha biashara.

Je, wewe ni mfanya biashara wa kati au mdogo?

Kama simu yako ina whatsapp unaweza kuitumia kuendesha biashara yako.



Njia za kutumia Whatsapp kuendesha biashara ni pamoja na:
a) Kuendesha semina za kulipia au bure kwa watu wasiozidi 250

b) Kutangaza biashara/huduma unazotoa kupitia magrup ya watu wengine au grup lako whatsapp

c) Kuuza bidhaa au huduma

d) Kujenga mabalozi na wateja wa biashara yako

Faida amabazo utazipata kupitia Whatsapp ikiwa utaamua kutumia njia nilizotaja hapo juu kuendesha biashara;
Biashara yako itafahamika zaidi, kwa sababu idadi ya watu katika grup la whatsapp ni hadi 250.

1. Unakuwa na nafasi ya kuimarisha mawasiliano kibiasahara na watu zaidi ya 200. Ikiwa utawasidia nao watakusaidia kuwafahamisha watu wengine kama ndugu na marafiki zao juu ya biashara yako.

2. Pia utatengeneza mabalozi wa kazi zako ambao watashea matangazo na kazi zako bila kuwalipa pesa kwa sababu wanasimama kama mashuhuda wako.

3. Whatsapp, sawa na mitandao mingine ya kijamii inakusaidia kusikia wateja wako wanasema nini juu ya bidhaa au huduma yako. Hii inakupa nafasi kuboresha sehemu ambayo wateja wako hawajarizika.


Jinsi ya kutumia Whatsapp kuendesha biashara saizi ya kati na ndogo.
Umeona Whatsapp unaweza kuitumia kuendesha biashara, sasa tuangalie njia na jinsi ambavyo unaweza kuitumia kibiashara:

Bonyeza hapa usome makala yote
 
Nilikuwa sijakuelewa

Sorry!

but watu hata elimu hiyo hawana ila BIASHARA zao whatsapp ziko poa


Ah!

Uwezo wangu wa kufikiri ni mdogo

Nisamehe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom