Recent content by shoosha9

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye app ya NALA ana jina kubwa kuliko app, kafanikiwa kwa sababu kasoma International schools sio kwa app, wewe mara ya mwisho umetumia Nala lini?

    Unajua ila kazi ya App yenyewe na matumizi yake? wewe upo sahihi kuliko waliweka 80b umo, sijui wa Tz tuna nn nakuchukia maendeleo ya watu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wapewa kazi ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Tumekaa hapa tumekosa huduma kwasababu hamna chenji, kwahio hatuwezi kusafiri, na usafiri unafika kwakuchelewa na ukifika tunasafiri kwa hali isiyo ya kibinadamu. [emoji50]‍[emoji100][emoji50]‍[emoji100] nasikitikia nchi yangu na sijui pakutua mzigo. kuna mambo yanafanya vijana waonekane wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tenda za Serikali ni nzuri kwa kampuni zenye mitaji ya kutosha

    dah 😂😂😂😀, nmecheka kama mazuri
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linanigharimu sana

    amri ya sita ni usiue
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

    Hapa tunakua tunazunguka hapo hapo, sawa mtu mwenye 80+b in tshs ni rapper tu asie na chakukwambia, ndio serikali na organization za aina hozo wapo sahihi mda wote na ndio wewe kama muafrica unapendwa na wazungu na unamanufaa nao kuliko hao waliokua slaves for 400+ years. Mi nmemaliza maana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

    1. wewe nimekupa facts na references wapi unaweza kwenda kuona nachokwambia ni facts, nipe links na facts zinazoonyesha kwamba undocumented immigrants wanalipa kodi. maana ya undocumented ni kwamba hata serikali haijui wapo wangapi na hata ivo nkigoogle naona ambae yupo credible anakadiria...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Waislam kupigania haki iliuliwa na Nyerere

    Shida kubwa ni kukosekana kwa mstari "vya kaisari apewe kaisari" katika Quran. Mara nyingi kuvunjwa kwa haki za kiislamu hua zinatafsiriwa moja kwa moja kama kuvunjwa kwa haki za mwananchi/raia ni vitu viwili tofauti. Kukosekana kwa utengano kati ya dini na serikali ni tatizo kwa dini zote na ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Putin atoa agizo kwa kila raia nchini Urusi kujiweka tayari kwa kushiriki nuclear war drills

    Ila Mjapan alizidi, soma unit 731 na rape of Nanking. kweli mabomu ya nyuklia ndo yanasababisha watu hadi leo wanaogopa hadi umeme wa nuclear, ila ki-unyama dhidi ya binadamu, mJapan alikua sawa tu au kumzidi mjerumani vita ya pili ya dunia kwa mtazamo wangu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Hapo sikubaliani na wewe, kweli ni mawazo ya mbali ila, ni mawazo ambayo inabidi tuanze kuyafikiria. lazma awepo muanzisha gurudumu. kuna hatari tofauti tofauti ambazo zinafanya kuishi duniani peke yake isiwe mpango mzuri kwa binadamu kama tutaendelea kuishi kwa miaka mingi sana. Mpaka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Hapa mimi nnamambo mawili yanayonitishia juu ya hili: 1. Umuhimu wa data/internet upo juu kuliko huduma zingine zote zinazotolewa na mitandao ya simu, kwasababu shughuli zote ambazo awali zilikua zinategemea mitandao ya simu zinaweza kukamilishwa na internet na aplikesheni; kwa...
Back
Top Bottom