Recent content by Shoo Gap

  1. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania DC Nzega aagiza kukamatwa kwa mkuu wa chuo cha madini kwa kumdharau RC Tabora

    https://www.academia.edu/73708908/The_Implications_of_Mine_Closure_on_Surrounding_Communities_The_Case_of_Nzega_Tanzania
  2. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania Hivi kusaidia wazazi wa aina hii ni lazima?

    Pamoja na kwamba umeshafanya maamuzi ya kutomsaidia, nikutahadharishe kuwa huwezi kushindana na mzazi na ukashinda. Kwanza, unakubali kuwa alichokifanya baba yako siyo kizuri na kilikuumiza sana na unao uchungu hadi leo. Lakini mshindi wa hili sio yule anayelipa kisasi, NI YULE ANAYEWEZA...
  3. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba ikifika hapa inakuwaga ngumu kumalizia?

    Moja ya mbinu ninayotumia kutokukwama ni kuanza kununua bati, kabla ya kuanza kuchimba msingi. Ukifanikiwa kufika hapo kama bati zipo unaweza kufosi kutafuta pesa ya mbao na fundi
  4. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wakati wa Serikali ya AWamu ya 5 mlikuwa punctual sana kuunganishia watu line. Hivi sasa NI wiki ya 6 ya ucheleweshaji wa kuunganishiwa line hata baada ya kulipa. Sababu zinazotolewa eti hakuna nguzo. SERIOUS!!!
  5. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    If you succeed in cheating someone, don't think that the person is a fool...... Realize that the person trusted you much more than you deserved.
  6. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha kufanya Utafiti Ili kujua kwanini Watanzania hawapendi kulipa Kodi. MwanaJf unaweza kutoa maoni hapa kusaidia Utafiti

    1. Elimu ya kodi bado iko chini sana, uandaliwe mfumo imara wa kutoa elimu ya kodi tangu nursary, 2. Tujenge mfumo rafiki wa kurasimisha kazi na miradi ya uzalishaji yote nchini ili kuwa na walipa kodi wengi, then baada ya walipà kodi kuongezeka viwango vya kodi vipunguzwe, 3. Tuharakishe...
  7. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania Mzazi ananilazimisha kwenda kidato cha Tano

    Kama umeshindwa kuwashawishi wazazi, fuata wanalokuelekeza wazazi. Pamoja na mambo yote usipowasikiliza utaenda bila baraka zao, hii itakupa changamoto.
  8. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Mloganzila inatumia wanafunzi (interns) kuhudumia wagonjwa mahututi, na manesi wana huduma mbaya, mnatumaliza

    ZIPI HATUA ZA KISHERIA ZA KUCHUKUA JUU YA HOSPITALI KWA UZEMBE KWA MGONJWA? https://www.jamiiforums.com/threads/zipi-hatua-za-kisheria-za-kuchukua-juu-ya-hospitali-kwa-uzembe-kwa-mgonjwa.2216232/
  9. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kuwa miaka 55

    ".....kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kutaweka msingi imara kwa ustawi wa wastaafu, kuongeza ufanisi katika utendaji kazi......." Wewe unafikiria kwenye angle moja tu ya kuongeza ajira. Pamoja na kupinga uwezekano wa aliyefanya kazi kwa 10yrs kuweza kuajiajiri na kuunda ajira mpya, mimi...
  10. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania Zipi hatua za kisheria za kuchukua juu ya hospitali kwa uzembe kwa mgonjwa

    Kwanza, niwapongeze Wahudumu wa afya wenye moyo wa dhati na wanaozingatia taaluma na uadilifu kuhudumia wateja wao. Nakiri maisha ya wengi ikiwemo mimi binafsi yana mchango wa wahudumu wa afya. Hata hivyo, nimekutana na matukio kadhaa ya makosa ya uzembe wa wazi wa baadhi ya wahudumu wa afya...
  11. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kuwa miaka 55

    Ukijua kuwa baada ya miaka 10 mkataba utaisha utajiandaa kujenga mtaji wako na kujiajiri au pia kuajiri wengine baada ya mkataba wako kuisha. Tofauti na ilivyo sasa ukiwa na miaka 60 una nguvu na kimwili wa akili za kuanza miradi enedelevu. Lakini baada ya Mkataba kuisha unatoa nafasi kwa...
  12. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kuwa miaka 55

    Mfumo wa ajira za umma kwa baadhi ya kada unapaswa kufanyiwa marekebisho. Mathalan, kada za afya na nyinginezo zenye ujuzi wa kipekee ndio ziwe unastaafu ukiwa na miaka 55 ua 60 na hata 70 kwa specialists. Ila hizi taaluma nyinginezo ajira ziwe za mikataba ya miaka 5 au 10 then utendaji na...
  13. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini Wananchi wa Tanzania Wanaweza Kufanya Kuchangia Maendeleo Endelevu?

    Mojawapo ya msingi wa Maendeleo Endelevu ni Ushirikishwaji Sawia (Fair Partnership). Kuanzia kwenye kupata viongozi wao, elimu, kutunga na kusimamia Sera & sheria, ulipaji wa kodi, mipango ya maendeleo wananchi wanapaswa kushirikishwa na kuona kuwa mawazo na michango yao inathaminiwa. Mwisho wa...
  14. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba ni matumizi mabaya ya pesa

    Kulingana na Takwimu za Sensa ya Watu na makazi Tanzania ina jumla ya majengo 14,348,372. Kwa kauli yako wewe una akili kuliko hawa waliojenga haya majengo❓⁉️❔
  15. Shoo Gap

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

    Kwa kweli anastahili pongezi. Hata hivyo Hotuba ya kwanza kuwa na QR Code ilikuwa ya tarehe 19 Mei, 2023 na sio ya tarehe 31 Mei https://www.mawasiliano.go.tz/documents/speeches...
Back
Top Bottom