Recent content by shokosugi

  1. shokosugi

    Uvaaji wa mavazi haya ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana

    Hivi wale wasabato masalia walipotelea wapi
  2. shokosugi

    Dr. Magufuli songa mbele, upande wako tuko wengi zaidi

    Piga kazi tu zama zile za ufisadi zimepita Sent using Jamii Forums mobile app
  3. shokosugi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nikiweka token napata error 77 nini tatizo?? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. shokosugi

    Tigo 4G ni hatari sana, Halotel jipangeni tena

    3g tigo ilikuwa shida ndio 4g tena
  5. shokosugi

    Kama ulishindwa kufungua PAYPAL account njoo hapa

    Mimi natumia exim debit mastercard hazikubali kufanyia manunuzi online inabidi nihame benki ili nipate huduma hii.sijui card za benki gani zinafaa zaidi iwe visa au mastercard?
  6. shokosugi

    Kama ulishindwa kufungua PAYPAL account njoo hapa

    Asante umenifahamisha vizuri sana
  7. shokosugi

    Kama ulishindwa kufungua PAYPAL account njoo hapa

    Ina maana billing information ,anuani ya makazi iwe ya benki uliyafungulia akaunti na si mtaa unaoishi wewe tofauti na shipping information?
  8. shokosugi

    Fastjet ni jipu

    Boarding gate inafungwa dakika 40 kabla ya ndege kuondoka, ukichelewa kufika hapo ujue umechelewa hata kama kwingine umepita
  9. shokosugi

    Usipolipia DSTV zinabakia channel ngapi?

    Zinabaki channel tatu ccctv, chanel ten na matangazo
  10. shokosugi

    Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Feki ni feki tu huwezi kubali ufeki wa cheti
  11. shokosugi

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Hili ndilo tatizo la viongozi wa umma wenye biashara zao binafsi
  12. shokosugi

    Dr. Masaburi amkana Lowassa, ataja sifa za Pinda kama Rais ajaye

    Pinda akiwa rais basi chenge atakuwa waziri mkuu,
  13. shokosugi

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Mchango wa shule?? Shule ya nani ya kwake, wizi mtupu.
  14. shokosugi

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Hapa ilipofikia tatizo sio kujivua taji bali ni kujua ukweli amedanganya umri au la. Passport yake inaonesha amezaliwa lini?? Ili tujue ukweli na uwongo ni upi.
Back
Top Bottom