Recent content by Shmy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanakijiji Mvumi - Chamwino wachoma moto gari na kuuwa maafisa wa Taasisi ya Kilimo

    Husichanganye mambo jamani. Hawa ni watafiti wa udongo sio maafisa wa ardhi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ewe mtumishi endelea kusikiliza

    Summary please . Eeeh vichwa vimechoshwa na ukata.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi za jamii ipo sahihi kuondoa fao la kujitoa

    Shikamoo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mwanaume si wa kushindana nae

    Asante kwa ushauri wako uliotukuka
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Niende kufata changu aisee
  6. S

    JamiiForums Tanzania Aibu na fedheha yanapokutokea haya kwa mwanaume

    Mhhh hizi aibu na fedheha zako zinategemeana.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, mwanaume si wa kushindana nae

    Kuamua kuchukua maamuzi ya kubadilisha wapenzi kila mara ili kushindana ex wako ni kujidharirisha tu. Mi naamini mwanamke ni kiumbe chenye staha kuliko mwanaume. Tafuta pesa kama habari ya mume mlilie Mungu atakupa atakuepusha na wanaume ambao si waaminifu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Husiruhusu tamaa za mwili kukutawala. Utachezewa mpaka basi. Chagua marafiki sahihi utaepuka mengi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Mapendekezo hayo yameanza kufanya kazi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sitaki Mwanaume Wa Kunijambia Usiku Kucha Ndani Kwangu!

    Lara1 bwana mchokozi sana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Aina 10 za wanawake hizi hapa; Je, wako yuko wapi?

    Ushirikina kisa mahusiano bora huyo mume aende tu sio fungu langu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sitaki Mwanaume Wa Kunijambia Usiku Kucha Ndani Kwangu!

    Nimecheka sana dah:rolleyes:
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mdada asiyeamini/ asiyeukubali uchawi

    Huwezi kupingana na neno la Mungu. Ukisoma kutoka 22:18 imeandikwa husimwache mwanamke mchawi kuishi pia imeandikwa kushindana kwetu si juu ya damu n.a. nyama bali ni juu ya falme na mamlaka za nguvu za giza. Mamlaka za giza ni pamoja na uchawi, majini, mizimu na wagan ga wa kienyji. Uchawi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini sababu ya kuwa mkali ghafla?

    Pepo la hasira limekuvaa ndugu. Tena linaweza kukupelekea ukajiua. Muombe Mungu sana vunja mikataba na majini hasa makata ndo kazi yake. Kwani kazi mpaka serikalini kuna nguvu inakudrive unknowingly
  15. S

    JamiiForums Tanzania Subira yavuta heri, ipo siku utampata mtu sahihi

    Hii imenigusa maake wanaume wanaleta mitihani sana. Jana n.a. leo niko hoi
Back
Top Bottom