Hakuna mwanaume asiye chepuka, take it from me.its just a matter of time tu kama hajaanza. Hata uwe kamili kila idara.Kuamua kuchukua maamuzi ya kubadilisha wapenzi kila mara ili kushindana ex wako ni kujidharirisha tu. Mi naamini mwanamke ni kiumbe chenye staha kuliko mwanaume. Tafuta pesa kama habari ya mume mlilie Mungu atakupa atakuepusha na wanaume ambao si waaminifu.
wa ambie wewe, huenda wakakuelewa maana wana vichwa vigumu kweli kweli. [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84]Kuamua kuchukua maamuzi ya kubadilisha wapenzi kila mara ili kushindana ex wako ni kujidharirisha tu. Mi naamini mwanamke ni kiumbe chenye staha kuliko mwanaume. Tafuta pesa kama habari ya mume mlilie Mungu atakupa atakuepusha na wanaume ambao si waaminifu.
Yeye aondoke, aje mwingine ale ashibe nae aondoke, na mwingine tena apige mzigo akichoka asepe ili mradi akutunzie siri usidhalilike wakati ushajidharirisha mwenyewe.Jamani waoneeni huruma watakaokuja kujenga familia na ninyi. ukishafunuliwa na watu zaidi ya watatu tayari wewe ni scraper tuu kama mascraper mengine.Mapenzi bwana utata sana, hasa pale watu wakichokana ndo wanaachana kwa visasi hapo ndipo yanapoanza mashindano na kama mpo mtaa mmoja ndo kabisa..niliwah mwambia mpenz wangu ili usinitie aibu ukinichoka ondoka kimya we nambie tu nmekchoka utaona kama ntakutafuta..MWANAMKE STARA BWANA MASHINDANO YA NINI?G
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuamua kuchukua maamuzi ya kubadilisha wapenzi kila mara ili kushindana ex wako ni kujidharirisha tu. Mi naamini mwanamke ni kiumbe chenye staha kuliko mwanaume. Tafuta pesa kama habari ya mume mlilie Mungu atakupa atakuepusha na wanaume ambao si waaminifu.
Swaga zakoWhat's so funny?
Wew unafaa kuolewaKuamua kuchukua maamuzi ya kubadilisha wapenzi kila mara ili kushindana ex wako ni kujidharirisha tu. Mi naamini mwanamke ni kiumbe chenye staha kuliko mwanaume. Tafuta pesa kama habari ya mume mlilie Mungu atakupa atakuepusha na wanaume ambao si waaminifu.
Yaani umeongea kutoka moyoni mamii,hebu tupe siri ya experience yako uliopitia tafadhali.Kuamua kuchukua maamuzi ya kubadilisha wapenzi kila mara ili kushindana ex wako ni kujidharirisha tu. Mi naamini mwanamke ni kiumbe chenye staha kuliko mwanaume. Tafuta pesa kama habari ya mume mlilie Mungu atakupa atakuepusha na wanaume ambao si waaminifu.
Mungu anilindie mume wangu..Sio kila mwanamke anaesema akikushinda mtu achana nae basi ni kiruka njia hapana ila wengine wenye stara zetu tunawaombea hawa wanaume wanaotuhitaji kabla hatujawakubalia kwa hiyo kila utaloona linatoke mbele yako ujue Mungu atalisimamia kwa hiyo akisema naenda mwambie nenda ila nilindie stara yangu.hjwaja.Yeye aondoke, aje mwingine ale ashibe nae aondoke, na mwingine tena apige mzigo akichoka asepe ili mradi akutunzie siri usidhalilike wakati ushajidharirisha mwenyewe.Jamani waoneeni huruma watakaokuja kujenga familia na ninyi. ukishafunuliwa na watu zaidi ya watatu tayari wewe ni scraper tuu kama mascraper mengine.
Haswaaa! Na kama unajiamini upo kwenye njia sahihi utapata mwingine tu mtakayeendana naye! Huezi kuwa perfect lakini mema/mazuri yako yakiwa mengi kuliko madhaifu hautojutia kwa atakayekuacha zaidi utaona kama vile umetua mzigo na kujipunguzia balaa lililokuwa mbele yako! Kwa mtu yeyote mwenye kujielewa awe me/ke suala la kushindana katika mahusiano huwa halina nafasi kwake zaidi huchukua uamuzi wenye busara tu. Sometimes inauma hasa kama ulimzoea sana na kumuamini lakini bora maumivu ya mda kuliko majuto! Ukishindwa kabisa kutatua kero ya kimahusiano kidplomasia acha aende zake tena aende kimyakimya.Mapenzi bwana utata sana, hasa pale watu wakichokana ndo wanaachana kwa visasi hapo ndipo yanapoanza mashindano na kama mpo mtaa mmoja ndo kabisa..niliwah mwambia mpenz wangu ili usinitie aibu ukinichoka ondoka kimya we nambie tu nmekchoka utaona kama ntakutafuta..MWANAMKE STARA BWANA MASHINDANO YA NINI?G
!
!
kichwa cha habari kiko vizuri ....habari haieleweki