Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,377
- 9,297
Habari za hapa,
Hii hali siielewi itaisha lini, huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu anaponigusa mambo yaliyoniathiri ubongo hadi leo mambo hayo ni;
1] Kukosa kazi kwenye taasisi yoyote [serikalini] niliyoidhamiria tangu nipo chuo, mpaka leo hii nasota taasisI binafsi huwa naumiaga sana sasa mtu akinigusia hapo tu nakuwa mkali nawaza kichwa kitauma mpaka nimeze paracetamol ndo kitatulia.
2] Kusalitiwa na mwenzangu niliokolewaga na mama baada ya kutaka kumeza piriton 90 ili nipotee duniani, naukizingatia kazi nliyoitaka sijaipata, mchumba tuliekuwaga na malengo nae kazalisha mwingine sasa ya nini nibaki? Sasa baada ya kufeli kujitoa duniani, nimebaki na mawazo na hasira za ghafla kwa vitu hivyo.
Pombe situmiagi kabisa japo kuna watu waliniambia nitumie, juzi tu hapa kuna mtu tunatanianaga nae aligusa moja kati ya hivyo ghafla nikawa mkali nikamtext kiukali yani mawazo yakarudi upya.
Sasa nisaidieni.