Recent content by shizy

  1. S

    Kesho ni kazi kama kawaida

    mapumziko n baada ya usafi,,
  2. S

    Nikimwambia nampenda, najibiwa "K, thanx"!

    ata me na wangu alinijib ivo mwanzon mwa mahucano'na nko mwaka mmoja na nusu af miez kaa nane iv cjamwambia nmemic mpak aseme yy
  3. S

    Msaada: Ofisi za NHIF Morogoro Ifakara

    Habari wakuu? Kwa wale wenyeji wa Ifakara Morogoro, ningependa kujuzwa ofisi za NHIF zinapatikana? Na kama zipo ni sehemu gani?
  4. S

    Najuta kupiga kura 2015, sitokaa nipige kura tena

    tuache2 itawale ad dunia iishee mana hakuna namna nyingine
  5. S

    Mwanamabadiliko tuambie hali ilivyo hapo unapoishi

    nko kibaoni ifakara leo,lowassa ajaja kazingua wa2 uku,ilikua aje akuja,,
  6. S

    Mwanamabadiliko tuambie hali ilivyo hapo unapoishi

    kweli leo kazingua ajatokea mafuriko yote yame rudi makwao..
  7. S

    Bao la mkono linaanzia Wilaya ya Dar es salaam

    bao la mkono n vitisho2,amna cha bao la mkono wala nn,,
  8. S

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    em ufanywe kwa kingereza tuone mbio za ccm, maana meng tusha skia kwa kiswahili kwny kampen za ukawa
  9. S

    Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    bora kakwambia ukweli ili uspoteze tym yko,pata picha angekuja na uyo alompata na mtot,,,
  10. S

    Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

    daaah algeria???baac tena turdhike2 na apa,man n kichapotu"mwarab c ndo mbabe we2??
  11. S

    Lowassa mikoa 26, mikutano 104, Magufuli mikoa 20, mikutano 180, Yupi dhaifu?

    mdhaifu tutamjua baada ya kupga kura,,
Back
Top Bottom