Recent content by shizo mkax

  1. shizo mkax

    Mavazi ya Harusi

    Pamoja na Pamoja na maelezo yako mazuri lakini nataka nikukumbushe jambo moja kwamba dini ni njia ya maisha ya mwanadamu ikijumisha tamaduni na desturi za mafundisho yake. Vazi nililochagua ni lolote linalokidhi hitaji la dini yangu. Napenda mtindo niliotuja kwa personal preference tu.
  2. shizo mkax

    Nahitaji maduka ya mavazi ya harusi Dar

    Ni preference tu mkuu. Na sababu kubwa ni kwamba mitindo ya kiafrika ni tatizo kidogo ktk upatikanaji wake ukilinganisha na ya kihindi
  3. shizo mkax

    Mavazi ya Harusi

    Poleni na pilika wanajukwaa. Nawasalimu kwa lugha zote. Natarajia kuoa next month. Naomba kujulishwa maduka ya nguo za harusi za kiislam. Naprefer zaidi mitindo ya kihindi. Wasaalam
  4. shizo mkax

    Nahitaji maduka ya mavazi ya harusi Dar

    Poleni na pilika za kila siku wanajukwaa, nawasalimu ktk salamu zote.. Natarajia kuoa next month. Naomba kujulishwa maduka ya nguo za harusi za kiislam hapa Dar ikiwa pamoja na bei zake. Naprefer zaidi mitindo ya kihindi. Wasalaam
  5. shizo mkax

    Wale wa JKT mambo tayari, vipi Zimamoto?

    Umeridhika na sources ulizowekewa?
  6. shizo mkax

    Wale wa JKT mambo tayari, vipi Zimamoto?

    Uko chuo gani mkuu?
  7. shizo mkax

    Wale wa JKT mambo tayari, vipi Zimamoto?

    Hatimae waliofanyiwa usaili jkt wa kujitolea wameambiwa waripoti katika vikosi walivyopangiwa kwa nauli zao. Je wale wa zimamoto usaili utakuwa lini kwa mwenye tetesi tafadhali atusaidie wana jukwaa
  8. shizo mkax

    Sh10 milioni za wabunge CCM mikononi mwa TAKUKURU

    Wabunge wa ccm wamepewa mgao wa milioni 10 kila mmoja ili waupitishe muswada wa sheria. Je mtukufu rais hii rushwa huioni? Au wananchi tuamini kwamba huu mchezo umeratibiwa kutoka juu. Hivi inawezekana kweli katibu apange huu mpango halafu mwenyekiti asijue?
  9. shizo mkax

    Kangi Lugola, mzalendo pekee ndani ya CCM

    Nadhani pamoja na yote anapaswa kupongezwa. Ni wachache mno ndani ya ccm wanaothubutu kuongea
  10. shizo mkax

    Utumishi; No placement, No interview, No posts advert hawa 5elfu wa JPM wamepitia wapi?

    Elewa maana ya ajira mpya. Kwa kawaida baada ya pass out lazima iingie intake mpya. Hilo ndilo linalozungumziwa hapa
  11. shizo mkax

    Bodi ya Mikopo na utoaji mikopo

    Pole sana ndugu yangu. Bahati mbaya hili limekugusa moja kwa moja lakini pia huwezi jua kesho utaguswa na lipi ktk serikali hii. Tunahitaji kubadilisha mfumo, ccm imechoka na haina jipya. Tujaribu kuwa kama marekani, tukubali kufanya mabadiliko kwa maslahi yetu watanzania. Pole sana
  12. shizo mkax

    Utumishi; No placement, No interview, No posts advert hawa 5elfu wa JPM wamepitia wapi?

    Ahsante sana kiongozi. Nashangaa wanafki wanaojifanya kumsemea rais. Jeshi lipi lililoajiri? polisi gani walioajiriwa?
  13. shizo mkax

    The Media Services Act, 2016 : Goodbye to all amateur reporters

    They made it possible for their own benefits:mad::mad:
  14. shizo mkax

    Hivi kuna chuo wameshasain boom jmn

    Darsa ndio nini? Watu wengine kwa kukosoa bhana:D:D
Back
Top Bottom