Wale wa JKT mambo tayari, vipi Zimamoto?

shizo mkax

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
190
Reaction score
39
Hatimae waliofanyiwa usaili jkt wa kujitolea wameambiwa waripoti katika vikosi walivyopangiwa kwa nauli zao.
Je wale wa zimamoto usaili utakuwa lini kwa mwenye tetesi tafadhali atusaidie wana jukwaa
 
Ni kweli asee au unatutia pressure tu? Tupia ka source please
 
Jana nikiwa katika mhadhara chuoni kwetu,tangazo lilitolewa likidai wale wote waliopitia mafunzo ya jkt mujibu wa sheria wajiandikishe majina na namba zao za simu.Kila mtu amebaki kuuliza mwenzake pasi na majibu.
Kwa walioko vyuo vingine zoezi hilo lipo?
Naomba kuwasilisha.
Nini kusudio lake?
acha ubishi habar ya saa nne usiku sababu aliongea jioni
 
Jana nikiwa katika mhadhara chuoni kwetu,tangazo lilitolewa likidai wale wote waliopitia mafunzo ya jkt mujibu wa sheria wajiandikishe majina na namba zao za simu.Kila mtu amebaki kuuliza mwenzake pasi na majibu.
Kwa walioko vyuo vingine zoezi hilo lipo?
Naomba kuwasilisha.
Nini kusudio lake?
Uko chuo gani mkuu?
 
chuo gani hicho mkuu?
 
Back
Top Bottom