Recent content by Shitwiku

  1. S

    JamiiForums Tanzania Spare za Pikipiki kuibiwa Polisi

    Ww unauakika gani km mpanga naandika hii status zijaenda kufwatilia,tulifwatilia tukakutana na kiongozi mmoja akatuambia hakuna uwakika km hvyo vitu vilikueepo yy alichosema kuwa atafanya uchunguzi,Ss ww jiulize pikipiki imekamatwa inatembea kweli itakuwa haikuwa na mafuta,oil wala plagi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Spare za Pikipiki kuibiwa Polisi

    Hvi karibuni pikipiki yetu ya ofisi ilikamatwa kwa kuvunja sheria ya kuingia mjini bila kibali,Polisi waliichukua mpaka kituoni,tukaambiwa tulipie faini kituoni,Pikipiki ililala pale kituoni cku moja cku tunaenda kuichukua tukakuta Mafuta kwenye pikipiki hakuna,Oil nayo haipo,na Plagi nayo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Paka akai kwa Msela
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vifaru vya jeshi vyawashitua wananchi

    Acha ulimbukeni ww mbona Habari za ujambazi mnazireport humu kwani nyinyi Mapolisi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kijana anaekula kilo 3 za matofali ya kuchoma kwa siku [PHOTOS]

    Waindi wana mambo ya ajabu sana nilishawahi kumwona mmoja kwny CNN hyu yy alikuwa anakula Vyupa baada ya kuvitwanga
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lori laziba barabara Kibamba hospital Dar es salaam

    Haya malori yanayobeba Reli ni hatari sana,juzi moja lilidondosha reli kijiji cha Duma Morogoro na kusababisha ajali baada ya Lori lingine kukanyaga hyo reli na kupinduka na kuziba barabara
  7. S

    JamiiForums Tanzania Lori laziba barabara Kibamba hospital Dar es salaam

    Lori lililokuwa limebeba mataluma ya reli limepiga pancha tairi na kukosa mwelekeo na kuziba barabara nzima. Hakuna gari yoyote inayopita hapa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Makamba Jr, DSTV Wamewashinda Kuhusu Channel 5 Za Bure?

    DSTV ni Watu wa hajabu sana hata hiyo Local Tv(TBC) ambayo ni free,Ucpolipia Package yoyote ya Mwezi TBC inaonekana lakini haina Sauti
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uwizi kwny ATM waendelea kushamiri,Tukio Oilcom Kagera

    Hawa jamaa wanatafutaga ATM ambazo hazina msongamano wa wa2 ili waweze kutoa hela bila buguza,maana walikuja na gari,wakati mwenzake kastukiwa yle aliyekuwa kwny gari akamwacha mwenzake
  10. S

    JamiiForums Tanzania Uwizi kwny ATM waendelea kushamiri,Tukio Oilcom Kagera

    Siku ya jna jioni Maeneo ya Magomeni Kagera Oilcom ktk ATM ya NBC alikamatwa jamaa akiwa na ATM km 20,na kustukiwa na Mlinzi na kukimbia lkn hakufika mbali alikamatwa,(Picha hyo aliye Mbele wa Askari Mwnye alama Kichwani ya damu ndio Mtuumiwa)
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

    Tatizo letu cc wa Tz hatujui haki zetu,mtu ni bora apite shortcut afike,hku ajui utu wake kauwacha Nyuma
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna nondo kweli

    Juzi zilinunuliwa nondo kwa ajili ya Ujenzi wa Gorofa,wakati Mafundi wana zikata na kuzipinda kwa ajili ya Kitako,Nondo zikawa zinakatika
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika apanda daladala!

    Madaraka yackuleweshe ukajifanya uwezi kupanda Public bus,Big Up Mnyika
  14. S

    JamiiForums Tanzania ITV na uzembe uliokithiri

    Kwa Company kubwa km IPP kushindwa kusolve tatizo km hlo,bc kuna Mkono wa Mtu ndan yke
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Capt Theodos J Kasapira(Ulanga Mashariki) Juma Ngasongwa(Ulanga Magharibi)
Back
Top Bottom