Sasa unakataaje hakuna harufu ya ufisadi?
Yawezekana Serikali imenunua kwa $99M lakini wakatuambia $Zaid ya 200M ambapo ni mara mbili zaidi.....
Hapa wakuelewe tu kuku wa lumumba, shame on you
Kupigwa tumepigwa... Haina mjadala
Mkuu wa majeshi means yupo juu ya majeshi yote nchi kavu, majini na angani.... Yan usalama wa raia, magereza, traffic, wanyama pori n.k wote wapo chini yake....
Hata mjeda wa kawaida yupo juu ya wote ila kila mmoja kwenye mamlaka yake.... Ninachomaanisha ni kwamba kila baka ktk gwanda la mjeda...
Acha tantarira, et ooh inanyesha......
Cha msingi Bashite atoke hadharan, aitishe press km ilivyokuwa sifa zakeee... Aonyeshe vyeti vyake!
Bashiteeeeeeee sisi hatutaki machozi, tunataka vyeti
Machozi peleka kwenye misiba
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
We mpuuz kweli..
Eti atafute kazi huko USA?
Nani kakuambia hana kazi? We tafuta kazi kama huna, wenzako maisha yashanyooka...
Siku nyingine povu ukatolee hukohuko kwenye wall ya mange.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.