Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

Majibu ya mwanzo yapo sahihi kila mmoja ni mkubwa kwenye taasisi yake hata mkuu wa magereza ni mkubwa pia akishakuwa wa nchi ni mkubwa hivyo vyeo ni sawa ila taasisi ni tofauti
 
Tiss ni Jeshi gani? ???
Je unajua maana ya jeshi au kazi za jeshi ww?

Nitajie taasisi ya intelligence Duniani inayoitwa ni Jeshi?

Intelligence zote zinaitwa Agency kwa maana ya idara au taasisi hakuna Jeshi lolote Duniani linaloweza ku operate civilian kama ambavyo taasisi nying za intelligence zinavyofanya

Kazi ya Intelligence Agency ni kukusanya taarifa za intelligence (kijasusi) na kuzifanyia kazi au kuzipeleka kwa wahusika zikafanyiwe kazi sijawai kuona Duniani jeshi la intelligence agency ktk mapambano kama tunavyoona majeshi ya Ulinzi au Vikosi vya usalama

Je umewai kuona gwaride la Tiss kama unavyowaona wengine POLICE, JESHI LA WANANCHI ,MAGEREZA, ZIMAMOTO AU UHAMIAJI?
Hakuna jeshi duniani linalo operate kwa Siri zaid ya intelligence Agency leo hata Baba yako hawezi kukwambia kuwa yeye ni intelligence agency officer unadhani kwa nini? mbona baba yako akiwa hata Mgambo inajua?

Tiss ni kama CIA ,MOSSAD ,BND ,MI6 je CIA ni jeshi? hizi ni idara au taasisi za kijasusi na kazi zao ni kukusanya taarifa za intelligence na kuzifanyia kazi au kupeleka kwenye kitengo kimachohusika zikafanyiwe ndio maana kuna kitengo cha intelligence ndani ya Jeshi au Vikosi vya usalama mpaka Mitaani kuna watu wa taasisi hii na kazi zao ni kukusanya taarifa za intelligence tu
That's why I aforesaid, probably you're less informed. Wewe unavyoelewa ili "Entity" iitwe jeshi lazima wavae uniform? wapige kwata hadharani? au washikilie mabunduki hadharani kweupe pee?
Nakueleza authoritatively, Most of the Inrelligence agencies, are part of majeshi ya ulinzi na usalama.
TISS inao askari wake ndani ya TPDF, Tanzania Police Force, PCCB, Drug enforcement agency etc.
Narudia tena, TISS ni mojawapo ya Majeshi.

Kutovaa combat uniform, ni "mode of operandi".Lakini mafunzo ya msingi wanayopata "Majeshi " mengine, hata TISS wanayapata, then wanaendelea na yao mengine.
 
Kila mmoja ni mkubwa kwa nafasi yake anayosimamia. Nimejaribu tu ila kiundani zaidi sijui. Subiri wajuvi wa haya mambo waje.

Hata mimi mchangiaji si mjuvi sana wa mambo haya. Isipokuwa upo sawa vyote hivyo ni vikosi vya ulinzi na usalama. Ndiyo maana pale Ikulu ama uwanja wa Taifa wote wapo. Kila mmoja ni Mkuu wa Kitengo chake cha ulinzi na usalama. Wakati wa mapambano wakuu wa nchi wanaweza kuteua yeyote mwenye sifa ujuzi na uzoefu kuwa Mkuu wa Operesheni fulani maalum, ama Mkuu wa Mapambano fulani kama vile Marekani wanavyofanya wakiwa Afghanistan ama Iraq. Mara nyingi wale walio Katika Jeshi ndiyo hupewa nafasi hizi na hao wengine kupewa utendaji mwingine hasa kulingana na vitengo vyao rasmi.
 
That's why I aforesaid, probably you're less informed. Wewe unavyoelewa ili "Entity" iitwe jeshi lazima wavae uniform? wapige kwata hadharani? au washikilie mabunduki hadharani kweupe pee?
Nakueleza authoritatively, Most of the Inrelligence agencies, are part of majeshi ya ulinzi na usalama.
TISS inao askari wake ndani ya TPDF, Tanzania Police Force, PCCB, Drug enforcement agency etc.
Narudia tena, TISS ni mojawapo ya Majeshi.

Kutovaa combat uniform, ni "mode of operandi".Lakini mafunzo ya msingi wanayopata "Majeshi " mengine, hata TISS wanayapata, then wanaendelea na yao mengine.
Kwani jeshi maana yake nin unavyoelewa?TISS sio jeshi ndugu.
 
Mkuu wa majeshi means yupo juu ya majeshi yote nchi kavu, majini na angani.... Yan usalama wa raia, magereza, traffic, wanyama pori n.k wote wapo chini yake....

Hata mjeda wa kawaida yupo juu ya wote ila kila mmoja kwenye mamlaka yake.... Ninachomaanisha ni kwamba kila baka ktk gwanda la mjeda linabeba rangi ya jeshi Fulani eg. Usalama barabarani.... Hapo inamaana ana vyeo vya majeshi mengine ila kimamlaka kila mmoja na yake

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
That's why I aforesaid, probably you're less informed. Wewe unavyoelewa ili "Entity" iitwe jeshi lazima wavae uniform? wapige kwata hadharani? au washikilie mabunduki hadharani kweupe pee?
Nakueleza authoritatively, Most of the Inrelligence agencies, are part of majeshi ya ulinzi na usalama.
TISS inao askari wake ndani ya TPDF, Tanzania Police Force, PCCB, Drug enforcement agency etc.
Narudia tena, TISS ni mojawapo ya Majeshi.

Kutovaa combat uniform, ni "mode of operandi".Lakini mafunzo ya msingi wanayopata "Majeshi " mengine, hata TISS wanayapata, then wanaendelea na yao mengine.
Ndio maana nimesema ndani ya majeshi ya Ulinzi na vikosi vya usalama Tiss wapo na si ndani tu ya Majeshi ya Ulinzi na vikosi vya usalama pekeyake Tiss wapo hata kwenye taasisi ,idara au maeneo yote wapo kazi yao ni kukusanya taarifa za intelligence na kuzifanyia kazi yani mtaji mkuu wa intelligence Agency ni matumizi makubwa sana ya akili kuliko silaha si kama majeshi ya Ulinzi na vikosi vya usalama na Tiss wanaweza ku operate civilian sana kuliko wengine kwa sababu wanaweza kuingia na kufanya kazi sehemu yeyote kuanzia uraiani mpaka kwenye majeshi na vikosi sema kazi zao wanazifanya in silence way Duniani wakuu wote wa intelligence agency vyeo vyao ni Director sasa wote tunajua neno Director linasound civilian sana Lakini wakuu wa Majeshi na vikosi vya usalama majina ya vyeo vyao ni vyakitaaluma ya kijeshi

Intelligence Agency kazi yao kubwa ni kukusanya taarifa za kijasusi ndio maana matumizi ya akili ni makubwa sana kuliko silaha na taasisi hizi zinaogopwa sana si kwa kuwa wanamafunzo ya ukakamavu sana kuliko wenzao wa vyombo vingine ni ukaribu wao wa kimajukumu na wanasiasa kwani hawa ndio walinzi wa wanasiasa na ndo wapeleka taarifa zote za intelligence kwa wanasiasa ambao ndio mwenye mamlaka makubwa kuliko wakuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama

Kuhusu kupata mafunzo ya Kijeshi na Usalama hata watoto wa form six wakimaliza wanakwenda JKT kwa mujibu wa sheria
Je PCCB au Takukuru ni Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa je na hawa si wanamafunzo ya ukakamavu kwa nini na wao wasiitwe jeshi au kikosi badala yake wakaitwa taasisi? ???

Hawa wanapata mafunzo ya matumizi ya akili sana kwani duniani kuna Elimu za aina tatu
1 Elimu ya kidini
2 Elimu ya kidunia hii ndio tunafundishwa mashuleni
3 Elimu ya utambuzi elimu hii wanafundishwa watu wachache ambao wanakuwa trained kwa ajili ya kudeal na watu wenye elimu hzo mbili yani ya dini na kidunia

Elimu hii ya tatu ndio wanafundishwa watu wa intelligence Agency elimu ya utambuzi ndio maana wanasema watu wa intelligence wana sixth sense na ktk vetting yao wanataka wtu wenye uwezo mkubwa sana wa ufahamu tofauti na vigezo vya majeshi ya Ulinzi na vikosi vya usalama vingine
Kuna tofauti kubwa sana kati ya taasisi hizi
1 Defense (Ulinzi) Jwtz
2 Internal Security (Usalama)Police
3 Intelligence ( ujasusi) Tiss
 
Mkuu wa Majeshi ina maana majeshi yote, Jwtz, jkt, police, magereza, kmkm, zimamoto, mgambo, security, sungusungu, sisimizi,.

JWTZ-Nyota ya kwanza hupewa na Rais

POLICE-Nyota ya kwanza hupewa na IGP
 
Back
Top Bottom