Recent content by Shinoyankela

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kutema mate mara kwa mara ni dalili za ujauzito?

    Hbr zenu wana jf polen na majukumu naomba msaada wenu mwenzenu tangu juz usiku natema mate mpaka imekuwa kero kwa weozangu sasa naomba mnijuze kama ni dalili za ujauzito au la!sihisi kichefuchefu ila tu mdomo ni mchachu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jaman kwa anaejua tatizo hili naomba msaada

    Jamani kwa anaejua hli naomba msaada nina matatizo ya kutokwa damu nyepec na nyekundu sana uken ikisindikizwa na bonge. Tatizo hli limeanza tangu mwaka jana mwez wa tatu cku mbili baada ya kumaliza period yangu nilienda hospital wakanichoma cndano tatu za kuzuia isitoke lakin tatizo halikuisha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chakula gani mjamzito atumie ajifungue mtoto mwenye nywele nyingi?

    Jamani madokta mtujuze kuhusu hili, ni chakula au dawa mjamzito akitumia mtoto atazaliwa ana nywele nyingi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni dawa au chakula

    Jmn ni vyakula gan au dawa gan atumie mjamzito ili azae mtoto mwenye nywele nyingi?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kutokwa damu uken wakat wa ujauzito

    nashukuru kwa ushaur wako ila ucjal coz ww umefanya booking mapema tumuombe mungu 2
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kutokwa damu uken wakat wa ujauzito

    Naomba ushaur wenu jaman mm ninaujauzito lkn ninamatatizo ya kutokwa damu uken cyo nying sana pia haitok mara kwa mara pia ujauzito wangu ni mkubwa tu na ni cku za matarajio na damu hzo zimeanza ndan ya wik hii tu je ni hali ya kawaida au ni tatizo naomba msaada wenu madactar wa jf
  7. S

    JamiiForums Tanzania Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

    Tafuta majan ya mapera yenye manjano,majan ya mgomba ya manjano ,majan ya mkartus machanga na miziz ya migomba uchemshe unywe na uoge na pia unywe kwa wing juice ya miwa inshaallah mwenyez mungu atakusaidia utapona
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kama naota vile, siamini

    Imekula kwako
  9. S

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Nzwigile nchunga 4m 4 2010 paul boman sec.school mwz
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo

    Kafofo
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapigao kelele wakikaribia kufika kileleni

    Utamu huo mjomba
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umenipendea nini?

    Et kat yangu na hyo wa zaman unampenda nan! Ah et nalo swal nisingekuwa nakupenda tungekuwa wote?
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

    Jaman twalala wote uch kitandan hrf kesho iwe shikamoo mh!haiwezekan
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maliza basi nimechoka!

    Wala cyo kuridhika bal anakuwa amekereka coz wanaume wengine michosho
Back
Top Bottom