Recent content by shinji majige

  1. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Kasinde aka Kasie MatataYuko Hewani (Online) Muulize Swali hatakosa jibu....

    vp kuhusu ahughuli za shamba ? unaziwezaga lkn?
  2. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Wadada kuna mafunzo huwa mnapata kuhusu vizinga au mnajiongezaga tu?

    Huyo atakuwa f6 ya mjini mzee angalia sana,usikute anasomesha mtoto chekechea sasa anatafakari ni vp atapata mipesa ya matunzo mozeeee
  3. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Kasinde aka Kasie MatataYuko Hewani (Online) Muulize Swali hatakosa jibu....

    Mm ninakajua labda unahamasisha shughuli za uchumi kumbe mapenzi? ngoja niende shamban kwangu kwanza duh
  4. shinji majige

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    kwn itakuwa saa ngapi; ili nami nisogee kwa jiran kuangalia??
  5. shinji majige

    JamiiForums Tanzania WADANGAJI Waongezeka Maradufu (2016-2018)

    ok ngoje aje waliowahi shuhudia tukio hilo
  6. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuomba anizalie kaja na list ya vitu

    mwambie aje kwangu ni mkabidhi trector moja ili akidhi mahitaji yake yote mkuu
  7. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri Mwita Waitara amesema kulipa kodi ni lazima siyo jambo la kisiasa!

    duh aise kumbe waitara shavu Eeeeeeeee
  8. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Ex wangu anaondoka... msaada

    hapa hakuna nn wala nn ; ni mtu pesa tu huna real love kabisa
  9. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi?

    ww ni mswahili na mpiga chapa tu muolewaji haombi maoni mtandaoni kamwe, Nachosema ww walie vyao tu kwakuwa umeamua kuufanya mwili wako sehemu ya biashara
  10. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa mende kwa matumizi ya binadamu na mifugo pamoja na masoko yake

    npe hayo matumizi ni yapi mkuu
  11. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa mende kwa matumizi ya binadamu na mifugo pamoja na masoko yake

    ninauzoefu kidogo karibu km kuna soko
  12. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Natoa zawadi ya 30,000/= TZS kwa atakayenisaidia hili

    mwz
  13. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Natoa zawadi ya 30,000/= TZS kwa atakayenisaidia hili

    zpo kwa jamaa yangu dukani
  14. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Kidumu chama cha mabaharia Tanzania(CMT) Wapenda Uvinza

    hivi vingine bhana ni sawa na kumkuta pweza ziwani
  15. shinji majige

    JamiiForums Tanzania Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    Aise hapa sion uhalisia wa ww kufanya kilimo unachokisema hapo; otherwise ulikuwa unasimamia shamba la tajiri yako sasa unatwambia kuwa ni ww aise, vijana wa mjini bhana hatariii, aliekula hasara katulia tuliii wala hata haongei lolote ispokuwa anawaza jinsi atakavolipa deni hilo
Back
Top Bottom