Ex wangu anaondoka... msaada

Ex wangu anaondoka... msaada

Mlikuwa na mahusiano serious na ya muda mrefu ila hujaweka sababu hasa zilizofanya mshindwe kuoana ni nini....je unavyotaka akuoe kuna kitu kimebadilika??
Huo ukaribu wa hivyo na x wako hauwezi kukuacha salama..kama ulishaamua kuachana nae ungekaa mbali na mawasiliano ukate...anakutumia tu huyo fungua akili tafuta wa kwako
 
Kwa kifupi tu ni kwamba jamaa hakukupenda wala hakupendi ila wewe ndio unampenda. Mwache aende zake, kwani hata ufanyeje sooner or later hatakuwa wako tena!
 
Jamaa anazingua sana...Sasa anataka muwe wapenzi akati urafiki tu Unampa papuchi kirahisii..!! Huna haja ya kufuga ng'ombe akati unaweza kunywa maziwa bure na akafugwa na mwingnee... Jamaa aendelee kujilia papuchi ya bure tu
 
Akilewa anakupenda coz zinamshuka and you are available.

Hivi kila kitu lazima mfafanuliwe dada zangu wapendwa?

There is never a grey zone when it comes to love. Its either he wants you or doesn't but never unsure.

Say No, ataishia kukutumia tu.
 
Akilewa anakupenda coz zinamshuka and you are available.

Hivi kila kitu lazima mfafanuliwe dada zangu wapendwa?

There is never a grey zone when it comes to love. Its either he wants you or doesn't but never unsure.

Say No, ataishia kukutumia tu.
HAWEZIIIIIII...LABDA JAMAA AZINGUE
 
Kwani papuchi shilingi ngapi!??
Wewe si umeikuta tu hapo???
Madhali mtumiaji ametokea mpe tu atumie hakuna hasara hapo
 
Bila shaka wanaume wengi tunakuona wewe ni king'ang'anzi. Na siku sio nyingi naweza kudhalilika. Mchana na huyo mtu moja kwa moja before it is too late. Kuanza upya siyo ujinga mama.
 
Mimi ni kigoli sijawahiguswa hivyo sina ex

(Chondechonde yaishie hapa, usijeanza kufukunyua makaburi wakati hujisikii vizuri)
Njoo kwangu kigoli niingize mpira wangu hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom