Recent content by Shingamagadi

  1. Shingamagadi

    Haya yote aliyofeli Rais Magufuli ni madogo sana, mradi wa Stiglers Gorge ndiyo utakuwa tsunami kwenye kushindwa!

    Ngoja nikujibu hili la stigler ndo tamu hayo mengine sina takwimu, siku nyingine jitahidi uje na takwimu za kitaalamu zinazopelekea huo mradi kufeli, jitahidi ufike pale kisaki utembetembee huku ukitafuta namna ya kuingia kule mradi ulipo halafu ufanye tathimini zako za kihandisi na kijiolojia...
  2. Shingamagadi

    Sababu ya ndege yetu kushikiliwa Afrika Kusini

    wamekopa nchi gani hiyo miradi uliyotaja mkuu? kwanini usijilizishe taarifa zako ndo ushuke kiume huku ukiwa na takwimu mahususi juu ya kile unachokinadi. iseeee watanzania wa JF kweli hamjambo yaani baazi ya hoja zimekua story za asha ngedere, zimejaa umbea mwingi pasi na uhakika wa data
  3. Shingamagadi

    Sababu ya ndege yetu kushikiliwa Afrika Kusini

    baada ya kujulikana hii sababu mahasimu wa JPM naona comment zao zimekua za kiungwana, ila nimepitia ule uzi ambao mleta habari kataja kukamatwa kwa ndege bila sababu kuelezea basi ulivyoungwa mkono na kutoa hukumu nyingi kwa Rais, hili jukwaa kwakweli limekosa watu wenye weledi kama enzi zile...
  4. Shingamagadi

    Mademu wakimya mnakera mnoo

    Hongera sana mkuu,hilo sio tatizo hata kidogo kwanza jiponeze kua na mwanadada wa karama hiyo, jikite na uwezo wake chanya wadada wa leo wengi wanamapungufu yanayosononesha mioyo ya wakaka sasa hilo la kwako kwakweli ni maakuzi yake aliyonayo. usichokonoe sana mkuu wewe mjenge pole pole maana...
  5. Shingamagadi

    Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

    Hii kauli yako ishikilie sana tena kwa mikono yote miwili isije ikakuponyoka ukaishangaa, haya mambo bora umezee tu moyoni hua sio vya kujihami kiasi hiki.
  6. Shingamagadi

    Kama una pumzi ndogo usithubutu kabisa utakufa kibudu.

    nimecheka kweli,yaani huu muongozo wako kama maagizo ya mganga wa kienyeji. jamani mtaua watu humu JF
  7. Shingamagadi

    Huyu dem kanishinda

    kunakuangalia na kusoma, wanavitabu pia usikomee kuangalia. enzi za form six ulikua na mambo mengi ya kishule jitahidi usome na uelewe kwasasa ambapo huna vya ziada vya kusoma kwa kusubili mtihani. Kama ulianza 2002 na hukuona jipya basi nikuambie tu kua bado kichwa chako hakijawa tayari kujifunza.
  8. Shingamagadi

    Huyu dem kanishinda

    hahahaha mkuu unatuaibisha wanaume, kasome makala za KAMASUTRA, au google hilo neno ili uanze kujifunza vyema kufanya maandalizi, pia utapata mafunzo mbali mbali ya kutumia vidole na utaona matunda yake. Acha kulalamika na jitahidi kutafuta mbinu za kivita kumshinda adui
  9. Shingamagadi

    Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

    Kwa mapokeo ya wanaume na hulka zetu ulichokifanya sio kizuri, ila ukifuata uhalisia alichofanya mumeo sio jambo la kiungwana hata kidogo. Nakushauri jipe mda kwanza wa kujiuguza hilo jeraha la moyo wako kwa mda wa siku mbili,ikibidi ulieeeee ili machungu yote yaishe, ukitulia nakuomba utafakari...
  10. Shingamagadi

    Je, kizazi kilichotokana na Uzao wa Malaika na Binadamu bado kipo Duniani?

    Ninarafiki yangu hapa anaomba aje akufanyie wiring unapoishi,yeye nae ni msomi wa mitihani,lengo aje akuoneshee aina ya ubunifu alio nao.
  11. Shingamagadi

    Kupatwa kwa msichana wa Dar: Nini chanzo cha uhaba wa '' chuchu saa sita'' hata miongoni mwa mabinti under 25 hasa jijini dsm ?

    Hivi kimatumizi hua zina utofauti mkuu? na zikiwa saa sita hua zinaleta ladha gani ukilinganisha na zile zilizo lala?
  12. Shingamagadi

    Ujumbe kwa wanaume

    ngoja uolewe, halafu upate uzoefu ndo maada itakua nzuri sasa hivi unaongea nadharia tu
  13. Shingamagadi

    Kanuni mpya za fedha: Dr Mpango

    JF bwana inakizazi ambacho kinaumaskini mkubwa wa kuchakata taarifa wanazopokea, jilizisheni kwanza taarifa husika na ukimbilie jukwaa kutoa maoni. jambo jingine jifunzeni kidogo huko ulaya wanafanyaje kuhusu mambo hayo ya transaction? kwa dunia ya leo hupiti na hela zaidi ya dola elfu kumi air...
  14. Shingamagadi

    Elimu ya Tanzania haina soko ktk Dunia ya leo kabisa

    Sindano unaiona kwa udogo wake lakini hatua za kuitengeneza sio lelemama, hata wewe ukijipanga unaweza agiza mashine zake za kufyatua hizo shindano sio issue sana,maana mould zake zipo kutoka china unatoa tu kama unavyotoa kopi kwenye photocopy machine. pia wale wenye taaluma ya fabrication...
Back
Top Bottom