Recent content by Shimbayape

  1. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya CCM ni kutupatia huduma au Lissu?

    Halafu kinachonichekesha ni wakati gani anafanya makosa Dar wakati yupo Dom maana kesi zake zote ni za yeye kusafirishwa kwenda Dar wakati makao makuu ni Dom mazoea ipo siku itatokea gari limepata ajali mtuhumiwa kapoteza maisha sijui kama mtaeleweka Mungu apishie mbali hiyo ni tahadhari tu
  2. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Vanessa Mdee: Gwajima amvaa Simon Sirro na jeshi la polisi

    Kitwanga alipimwa ulevi ni majibu pekee yalimfukuzisha kazi
  3. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

    Ni wazuri kwa sababu wapo chamani wakibaraswa watakuwa ka Wema
  4. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Fake News: Watangazaji 9 wa TBC waliotangaza Trump amsifia rais Magufuli, Wasimamishwa kazi

    Kiherehere oyee tatizo la watangazaji wa Tbc huwa wajionyesha ni zaidi ya wengine Zakaria rudi star tv
  5. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Tushukuru raisi wetu kajipambanua kafanya maficho wewe mwisho kaamua kusema ukweli kuwa haupendi upinzani yote aliyoyafanya alidhamiria kuzuia bunge kuonyeshwa live kuzuia mikutano ya wapinzani kama kafikia hatua ya wabunge wa chama chake hata kuwa marafiki kinachofuata atazuia hata wanachama...
  6. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Inawezekana ni wakala wake kwa mambo yake ya binafsi
  7. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    Sawa yeye makonda alipomhisia kuwa anauza na kutumia madawa ya kulevya alikuwa na uhalali upi wakati kazi hiyo ya hisia ilitakiwa ifanywe na polisi
  8. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Yaliyojiri Mkutano Mkuu maalum wa CCM, mabadiliko yamepitishwa, Arfi na Machali wahamia CCM

    Mimi naona kama wamemwaga tope ndani baada ya kusafisha
  9. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Kwa mbaali naona suala la Makonda linafunikwa na hili linaloendelea kutokea Dodoma

    Hilo halifi mpaka atuthibitishie mpaka kuteuliwa ukuu wa mkoa kwa njia ya udanganyifu hilo ndilo shtaka lake kujipatia madaraka ya ukuu wa mkoa kwa njia ya udanhanyifu
  10. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Mwalimu akamatwa na viroba vya shilingi milioni 77

    Hili katazo la pombe viroba sijalielewa kila siku nasikia na kuona kwenye tv polisi wakitangaza kunasa pombe hizo baada ya maelezo mwisho wake kuna kauli wanatoa kuwa ziendelee kuhifadhiwa kusubiri maelekezo nauliza wote waliohifadhi hizo pombe walizipata kihalali au kwa njia ya panya maana...
  11. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

    Asimchukue aliyekuwa m/kiti dar sina imani naye
  12. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

    Hivi kuna watanzania wapo walio na matope kichwani mwao kiasi unauliza swali kuwa alikuwa anapita kufanya nini hehehehe! Ama kweli chama dume kianaogopa hata magari hawa walishinda kwa halali kweli maana hofu imewazidi mno na ndiyo maana wanafukuzana yote kuhofia usaliti kisa wapo karibu na Lowassa
  13. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania David Kafulila amtaka RC Makonda kuonesha vyeti

    Kuna ndugu yake alihamia siku nyingi SA huenda ndiyo kaenda kuvichukua akirudi huko nina hakika jibu litapatikana kiusahihi
  14. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Simba wa vita kwa lipi ?
  15. Shimbayape

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa akiwa Mahakamani Kisutu, Aandika ujumbe mzito kwa Watanzania

    Tatizo la kuongozwa na watu wasioeleweka elinu zao ndiyo wametufikisha katika hali kama hii
Back
Top Bottom