Recent content by Shilings

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nyie mnaohangaika na Dini ipi ya kweli sijui dini ipi nzuri jifunze hili.

    Jamii inayokataa "Ukweli" haiwezi kukua na kuendelea, elimu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    Lugha ni kwa ajili ya mawasiliano. Yaani kuhamisha maana kutoka kichwani mwangu kwenda kichwani mwako. Kichwani mwetu kuna nini? Kuna mawazo (thought). Hii thought tunaiweka katika matendo na hapo ndipo dhana ya mawasiliano inakamilika. Kwahiyo maandiko ni mawazo (thought) na matendo, ambayo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    Tuweke mambo sawa. Sisi tunaoishi leo tunaishi wakati wa "Sheria ya Kristo" hivyo ambacho hakielezwi vizuri Agano la kale kinaelezwa vizuri Agano Jipya. Nafikiri si sahihi kusema masimulizi ya biblia (maandiko) yana kasoro kwa sababu yenyewe (maandiko) yameandikwa kutoka kwa desturi, miiko...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    Biblia ni chanzo kimojawapo cha mafundisho ya imani na maadili. Ni kitabu ambacho kinaeleza jinsi gani ya kuishi na hapo hapo kinajibu swali ambalo limeuliza wakati wote na watu wote la "mtu anatoka wapi na anaenda wapi? Vitu hivi vimetoka wapi na vinaenda wapi"? (Kwa nini). Muhimu hapa ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Biblia ni kitabu kinachoongoza kuwa na migongano mingi na pia ni illogical

    Ni kweli kabisa Mungu anajua yote. Zaidi sana Mungu anauwezo wote. Tunaposoma masimulizi ya biblia ambamo humo ndimo neno Mungu, yaani maana yake jina tunaloita "uwepo wa hali ya juu wenye akili" tunajifunza masuala ya maadili ambayo kimsingi ni "Kweli za kiakili." Ukweli ni nini? Biblia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna habari zingine ukizisikia inabidi ukae kimya kwanza. Hii ya Godbless Lema kuanzia pole ya msiba na kuishi Sea Cliff Hotel miezi 2 inafikirisha...

    Mtu anaesema watanzania au watu wafanye kazi na kujenga maisha yao wasijishughulishe na siasa. Anaesema hivyo ukimsikia mtu anasema hivyo au anaandika hayo jua ni kwa sababu ananufaika na hiyo siasa kama ambavyo hao wengine wananufaika na hiyo siasa na hivyo hajali madhara anayosababisha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Uchumi wa Africa unakua lakini Umasikini wa Watu wake Unapungua kwa kiasi kidogo | Ukuaji wa GDP Si Sawia na kushuka kwa Umasikini-Kafulila

    Umasikini Tanzania hauwezi kupungua kama hakutakuwa na jitihada za makusudi kurekebisha au kuondoa hali iliyopo na inayoendelea. "Nani wazalishaji." Uchumi unakua. Lakini swali ni "Nani wazalishaji"? Na hili ndilo linajibu swali kwamba "uchumi unakuwa lakini bado umasikini haupungui". Kwenye...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama, someni maandishi yaliyopo ukutani

    Historia inafundisha mambo mawili kwa wakati mmoja. Moja matukio yenyewe. Na mbili athari za matukio hayo. Tunapowatendea wengine vibaya, tunapowafanyia wengine uovu kwa sababu zozote zile; matendo hayo yanaacha alama isiyofutika katika ubongo wetu na katika jamii. Na kama hakukufanyika...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita?

    Ukimwambia mtoto hiki kitakuumiza haelewi. Anataka afanye aone, aelewe. Sio sahihi kusema "ni silika ya binadamu kujikusanyia vitu". Nafikiri ungekuwa sahihi kama ungesema: ni hulka ya binadamu kujikusanyia vitu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita?

    Mfano huu wa mtoto/watoto na ulichokitafsiri sio ukweli. Katika umri huo, watoto wanajifunza sio silika. Wanafanya hivyo kwa sababu wanataka kujua. Wanataka kujifunza. Watoto wanajifunza kwa kuangalia matendo ya wazazi au walezi wao au kwa kufanya matendo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anajitoa Kafara au anapigania Haki?

    Sheria zetu zinalingana na uhalisia na akili?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anajitoa Kafara au anapigania Haki?

    Binadamu hatuko duniani kwa sababu ya kuishi, kula na kuzaa. Hata kama hatukubaliani kwa sababu mbalimbali hasa ujinga, "MTU YUPO DUNIANI KUSHUHUDIA UKWELI" na tunapokufa "HATUUKIMBII UKWELI, TUNAKABILIANA NA UKWELI." Simjui Tundu zaidi ya habari zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Unachokikana unakikiri mwenyewe🤔
  14. S

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    I think you are a child or may be you still a child
  15. S

    JamiiForums Tanzania Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    🫢
Back
Top Bottom