Nahitaji wazalishaji/ wasambazaji wa pembejeo za kilimo mimi nina mtandao wa wakulima hususani walayani Rungwe mkoani Mbeya na maduka ya pembejeo ya kuuza bidhaa za pembejeo.Hivyo utafaidika kwa kupata mdau wa kuuza na kusambaza bidhaa zako kwa wakulima mkoani Mbeya.
Tutakubaliana aina ya...
Nakaribisha washirika/ partners tufanye biashara ya kuuza pembejeo za kilimo mkoani Mbeya hususani wilayani Rungwe, nina uzoefu wa kutosha wa biashara hii na nina maduka 2 tayari.
Karibu PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta Kampuni au taasisi inayozalisha o kusambaza pembejeo mbalimbali za kilimo ili niwe wakala wao wa bidhaa zao kwa mkoa wa Mbeya. Nina uzoefu wa kutosha wa kuendesha biashara huyo na nina maduka mawili makubwa.
Tuwasiliane pm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Never loose hope always! Anza upya kumbuka mazuri uliyofanya jipange upya ,soma vitabu ,endelea kutafuta fursa,fanya mambo yanayokupa furaha na usikumbuke machungu o kutafuta wa kulaume. Have free mind dude.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.