Recent content by Shikono Avant

  1. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mfano pdf imetoka ukaangalia bahati mbaya jina lako hujaliona, je kuna haja ya kwenda kuangalia kwenye account yako? Au inapendeza kuangalia koteee!
  2. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndio kk 🥲
  3. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaah sawa mkuu nimekuelewa
  4. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nauliza ukiishia written unaweza ingia database?
  5. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu

    Bora wewe mimi mwezi wa tatu huu sipati mshahara, nikiuliza naambiwa wiki ijayo, ijayo
  6. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla Kariakoo

    Namimi nahitaji ninunue jumla nisaidie mawasiliano
  7. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Fact,! Tusimamie hapa
  8. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya biashara ya bodaboda na duka la viatu vya kiume?

    Kwa huo mtaji uza viatu, tena vya mtumba changanya vya watoto, vya kike na Mens, msimu wa sikukuuu december na shule january hela nje nje🤔🤔
  9. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa na wanaojinadi wanauza sure bets fixed matches, hakuna kitu kama uhakika kwenye kubeti, ni mbinu ya kula pesa zetu tunaoingia tamaa

    Unakuta mtu anakuonyesha mikeka yake ya jana ameshinda 2M, leo ana odds 200 ni fixed anashawish watu wanunue lakin yeye mkeka huohuo anastake elfu 20, na jana yake ameshinda 2M, kwann asiweke angalau 500K apate 100M.... hesabu ndogo km hiyo
  10. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nahitaji viatu vya mtumba kwa bei ya jumla bei iwe 3,000/= mpaka 5,000/= kwa anayejua chimbo kwa Dar nichek whatsap 0744967478
  11. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Kuna kiwanda chenye kazi rahisi!?

    Nenda kiwanda cha magodoro, hasa kile kitengo cha kutest ubora wa magodoro
  12. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Kwa utabir wangu Power dynamo 2- Simba 1 El-merrickh 3-Yanga 3 Alafu tukutane marudio Azam complex
  13. Shikono Avant

    JamiiForums Tanzania Je, nini kimepelekea wajasiriamali (wafanyabiashara) kuwa wengi nyakati hizi? Je, nyakati zijazo kutatokea nini kwenye hili kundi la watu?

    Hapo jibu ni moja kukua kwa uchumi, viwanda vingi vinaongezeka na kila siku vinazalisha unategemea mnunuzi awe mmoja?, hapana kwahyo na maduka lazima yaongezeke kwakuwa upatikanaji wa bidhaa ni rahisi na pia sababu nyingine kuwepo na njia rahis ya usafirishaji au uagizaji wa bidhaa kutoka nje...
Back
Top Bottom