Recent content by shikamkono01

  1. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania JamiiForums inafahamuje ikitokea mwanajukwaa amefariki na kumuwekea RIP?

    naomba nichangie kidogo upande wa taasisi za fedha ni kuwa kwakuwa taasisi imesajiriwa ndani ya nchi husika basi pamoja na sera ya kampuni pia itatekeleza sheria za nchi,mfano kwa Tanzania mhusika anapofariki pesa yake kama ipo benki haiwezi kugawiwa kiholela kwani lazima taratibu za mirathi...
  2. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwandiko wa Mbunge wa bunge la Tanzania!

    ni kweli wana changamoto hiyo lakini najua ni upande wa kutamka ila sio ktk kuandika,hata baadhi ya maeneo kuna watu wanapuuza kutanguliza herufi H ila inabakia ktk utamshi tu na si ktk maandishi
  3. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Mkwe wa Rais wa Misri aliyegeuka kuwa Jasusi wa Mossad

    imekuwaje tena?
  4. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Mkwe wa Rais wa Misri aliyegeuka kuwa Jasusi wa Mossad

    Kanyaga twende!
  5. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Mkwe wa Rais wa Misri aliyegeuka kuwa Jasusi wa Mossad

    Lete uhondo kaka!
  6. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    haya LAND Anikajema chizcom Omukisa Chica Gee Aiylan wasalan Numbisa Aaliyyah strongest mkuje huku
  7. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    HUSTLER Laura kwanza niseme nakushukuru sana kwa ukurasa wako haswa hii part ya hustler inaleta exposure watu tunapona kimya kimya kwa maana siku niliyokufollow sikulala ni kama nilikesha natafuta hizi parts nasoma mpaka nikajikuta najiahidi kujileta kwako Kitu niligundua tangu nikufatilie ni...
  8. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    dakika 0
  9. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    Hii stori aliyeifungulia uzi humu sio yake na ndio maana hakuimaliza,stori yote iko kwa laura Petty kule fb kuna mdau ndio aliitoa na ameimaliza yote mnaweza kuifatilia kule au ntaiweka humu na kumpa credit zake mhusika wa hadithi ambaye ni Laura
  10. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    wewe sasa ndio umetoa ushauri,ule kama akifanikiwa kuweza kuuimba atakuwa amefunika bovu!
  11. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania The Numbers Gang 26, 27 and 28: Uliza maswali utajibiwa na wanajua kuhusu makundi haya hatari zaidi duniani.

    andaa hiyo makala uje uimwage hapa jamvini ndugu
  12. shikamkono01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    pole!
  13. shikamkono01

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    nami naiomba
Back
Top Bottom