Police ni Jeshi,kwa mujibu wa tafsiri ya neno jeshi kwenye katiba yetu ya JMT.inasema Mwanajeshi ni askari anayetokana na majeshi yafuatayo,1-TPDF/JWT,2-JKT,
3-POLICE na 4-Magereza.kwa hiyo mkuu kwa tafsiri hii ya sheria mama/katiba,Police pamoja na sehemu ya yake ya makazi ni kambi ya jeshi...