Mwanachdema unayemtetea zzk na timu zake ni mwanaccm halali kabisa.

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
251
55
Kwa uhaini wa zzk na timu ya wahaini wake wote hata yule anayejiita msomi msomi wa chuo kikuu kama kuna mtu anatetea au kuhuzunika juu ya maamuzi ya kamati kuu ya chama basi wewe ni mwana ccm kwa maana kama ulikuwa hujui ya zzk na anayemtuma basi wewe chadema haupo na hujui kitu, zzk ametenda uhaini mwingi sana akiwa kiongozi wa chama na ametumia madaraka yake kwa kuhujumu chama, hajawahi hudhuria vikao lakini anavitolea taarifa, hajawahi hudhuria harakati akiwa na wenzake ila anafanya za kwake, alisha toa rushwa kuhonga vijana wamsapoti mbali na hayo yote ni yule yule mwenyekiti ambaye yeye anasema amekaa muda mrefu ndie amekuwa akimtetea kwa watu ili wasimuone hafai , lakini leo hii anadiriki kusimama tena kumpinga huyo huyo, lakini zzk ni mchawi maana anabishia wengi. Leo hii anatetewa na ccm kuwa kaonewa sasa si wamchukue ina maana chadema leo inatetewa na ccm kwa maslahi ya nani. Napata wasiwasi ntaanza kuwaza hata lile bomu la kule wapi sijui kwa mlengwa alikuwa adui wa zzk sasa sijasema kuwa nani kaulilipua , asaaaaaaaaaaaaaaaante
 
Dogo msaliti halafu anajidai kukataa Posho.
Dogo Iskariote af anajidai Msamalia mwema.

Piga chini
 
Tatizo chadema kwa ujumla walichelewa sana kuchukua maamuzi haya ya kumuondolea nafazi zake katika chama na wanatakiwa waende mbele zaidi yaani kumvua uanachama,hapo itakuwa nafuu sana,haina maana kuchelewa kuchukua maamuzi halafu yakawa nusu nusu! ana matukio mengi tu ya usaliti kwa chama chake kwa manufaa yake binafsi.
 
Kwa uhaini wa zzk na timu ya wahaini wake wote hata yule anayejiita msomi msomi wa chuo kikuu kama kuna mtu anatetea au kuhuzunika juu ya maamuzi ya kamati kuu ya chama basi wewe ni mwana ccm kwa maana kama ulikuwa hujui ya zzk na anayemtuma basi wewe chadema haupo na hujui kitu, zzk ametenda uhaini mwingi sana akiwa kiongozi wa chama na ametumia madaraka yake kwa kuhujumu chama, hajawahi hudhuria vikao lakini anavitolea taarifa, hajawahi hudhuria harakati akiwa na wenzake ila anafanya za kwake, alisha toa rushwa kuhonga vijana wamsapoti mbali na hayo yote ni yule yule mwenyekiti ambaye yeye anasema amekaa muda mrefu ndie amekuwa akimtetea kwa watu ili wasimuone hafai , lakini leo hii anadiriki kusimama tena kumpinga huyo huyo, lakini zzk ni mchawi maana anabishia wengi. Leo hii anatetewa na ccm kuwa kaonewa sasa si wamchukue ina maana chadema leo inatetewa na ccm kwa maslahi ya nani. Napata wasiwasi ntaanza kuwaza hata lile bomu la kule wapi sijui kwa mlengwa alikuwa adui wa zzk sasa sijasema kuwa nani kaulilipua , asaaaaaaaaaaaaaaaante

mkuu umenena! chama lazima kichukue hatua kali ili iwe fundisho!kama watu wanamfuata mtu na wao waliwe vichwa! kinyume na hapo ni sawa na una malaria halafu hunywi dawa unategemea nini!
 
Tumemchoka huyu Muua Panya, leteni habari nyingine za ujenzi wa taifa tujadili...

Hivi mgao wa umeme utaisha lini?
 
Back
Top Bottom