Nafasi ya Kazi ya Kuvuna Muwa
Nafasi 586
Uongozi wa Kampuni ya Sukari
Kilombero unatangaza nafasi za kazi
ya kuvuna muwa katika msimu wa
uzalishaji wa 2014/2015
1.SIFA ZA MVUNAJI:
Awe na afya njema na mwenye nguvu
Awe na tabia njema
Awe tayari kufanya kazi na kutimiza
vipimo...
Naomba nieleweshe vizuri kwanini yule mtuhumiwa alishika jana bendera ya taifa pale mahakamani Mwanza hakuweza kupigwa wala kufunguliwa mashtaka?
Naomba msaada kIdogo kwa hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.