USA kwa vita vya anga ni hatari, kwa vita vya sakafuni hakuna kitu, jiulize kilicho mshinda USA mwaka 1990 kumuondoa sadam hussein Iraq ni nini?
USA hamna kitu, tukija Russia katika vita bado hamjamtambua toka kumalizika kwa vita vya 2 vya dunia, kwa sasa Russian amekunjua mikono yake Syria...